Prof Lipumba na Wafuasi Wake Wakamatwa na Polisi, Mawakili wa Chadema Waelekea Police Central Kuwatoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Prof. Lipumba na wafuasi wake kukamatwa na Polisi, Mawakili wa CHADEMA wameelekea Police Central kumtoa Lipumba (muda si mrefu uliopita

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeshtushwa na kupigwa vibaya na kukamatwa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA Prof Ibrahim Lipumba

Tayari Uongozi wa juu wa CHADEMA pamoja na mawakili wa chama wameelekea Police Central Station kwa ajili ya tukio la kijahili walilofanyiwa viongozi wa CUF, Profesa Lipumba na wengine.

Lengo la mawakili wa Chadema ni kuhakikisha wanamtoa kwa gharama yoyote Prof Lipumba na wanachama wote wa CUF waliokamatwa.

Tutaendelea kuwapa taarifa za tukio hili kwa kila hatua..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ...aina hii ya uandishi sijui mlisomea wapi..... Lipumba na wafuasi wake wamekamatwa wapi? wakifanya nini? Hampo makini kabisa na fani hii ya uandishi. Hebu muwe mnazisoma hizi comments zitasaidia kuboresha kazi zenu..

    ReplyDelete
  2. Amekamatwa na wafuasi wake.Okay. Je alikuwa anafanya kitu gani??????? kilichopelekea yeye na wafuasi wake kukamatwa??????? Kwa kweli aina hii ya uandishi wa habari ni ya kupigwa vita. Sijui huyu mwandishi alisomea wapi hii taaluma yake. Jaribuni na jitahidini sana kutupa habari kamili na zenye uwiano sawa ili sisi wasomaji tuweze kupima ukweli wa hizo habari na pia kutambua kosa lilikuwa la nani. Kimsingi hizi habari za kuegemea upande sio nzuri. Ni habari zilizojaa ushabiki badala ya ukweli wa mambo. Acheni kutupatia habari zilizojaa ushabiki kwa kuegemea upande mmoja.
    Ni hayo tu Ndugu mhariri wa blog hii.............

    ReplyDelete

Top Post Ad