Shilole Amchapa Makofi Mpenzi wake Nuhu Mziwanda, Steve Nyerere na Mabausa Washindwa Kuamua Timbwili la Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko Yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na kufanikiwa kumtoa Shilole eneo lile lakini baada ya muda Shilole akarudi na kumdai funguo ya gari Nuh ambaye siku hiyo alionekana kuwa mpole ikabidi mabaunsa waingilie kati na kumtoa kwa nguvu shilole, baadae Nuh alionekana akitoa machozi na Malkia wa Taarabu Khadija Kopa alionekana akim'bembeleza na kumfuta machozi.
sikiliza You Heard ilivyokua ndani ya Kipindi cha Power BreakFast :


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NDIO MAPENZI JAMANI AHAA!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na Nuhu mwenyewe kasema mapenzi yao ndivyo yalivyo na ndio yanamkomaza,mweeeeeeeeeeeeeeeh!
      Ni sheeeeeeeeeeeeeeeeeedah.

      Delete
  2. mhaba niue, sasa bila hivyo wala pezi halinogi. Angemuachia na vipepsi vilevile kababake Shilole kuda

    ReplyDelete
  3. wacheni umbea uooo wanaume wazima wambea.

    ReplyDelete
  4. huyo nuh mziwanda anaonekana hana sauti na lazima wajanja wanamsaidia kumsukuma huyo shilole

    ReplyDelete
  5. Kweli siku hizi hatuna wanawake, tuna vituko tu.

    ReplyDelete
  6. Huu ni udhalilishaji wa hali juu. Huyu mwanamke amekuwa akimdhalilisha huyu mwanaume kila kukicha. Na huyu mwanaume ni kitu gani hasa anachotafuta kutoka kwa huyo mwanamke. Kama ni penzi hapo hakuna kitu. Ni mapenzi yasiyokuwa na afya. Lakini hilo ndio liwe fundisho kwa wanaume kwenda kufanya mahusiano na wanawake waliowazidi umri. Tafuteni vijana wenzenu ambao itakuwa rahisi kuelewena kitabia. Hiyo Mimama mijitu mizima waachieni Wazee mapedesheeee. Halafu pia acheni kuendekeza njaa. Sasa angalia unavyodhalilishwa. Pengine ungekuwa na chako usingedhalilishwa kwa kiasi hicho. Vijana jitumeni. Fanyeni kazi kwa bidiii na pia Nendeni shule mkafute ujinga ila muache kuwa tegemezi kwa hao wanawake. Kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia kuepukana na huo aina ya udhalilishaji wa Kijinsia.

    ReplyDelete
  7. Halafu kitu kingine Huyo Nuhu Mziwanda si mwanamuziki? Kwa nini asiachane na hilo LijiMama akaenda zake na kuendeleza kipaji chake cha Muziki?? Angalia sasa mambo ya kufanywa Houseboy. Kuzaa wazae wengine wewe uishie kulea watoto wa mtu mwingine. Kweli akili ni nywele.............Pole saaaanaaa.

    ReplyDelete
  8. we nuhu unajiabisha acha na hilo jimama lililoshindikana tafuta saizi yako

    ReplyDelete
  9. we nuhu unajiabisha acha na hilo jimama lililoshindikana tafuta saizi yako

    ReplyDelete
  10. HATA KWA WANAWAKE WENZIE HAWAJAPENDA KITENDO ALICHOFANYA SHILOLE.
    KUNA BLOG MOJA NIMEONA SHISHI ALIVYOSHAMBULIWA

    ReplyDelete

Top Post Ad