Prof. Muhongo Kung'oka kabla ya Bunge kuanza la Sivyo Bungeni Hakuto Kalika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari nilizofikishiwa ni kuwa Prof.Muhongo atang'oka kabla ya Bunge linalotarajiwa kuanza week ijayo , hii ni kutokana na shinikizo kutoka nje na hofu ya Bunge linalotarajiwa kuanza hivi karibuni kutokukalika na uwezekano wa kutokea vurugu na mangumi ni mkubwa sana , kwani kuna wabunge hawajaridhika kabisa na jinsi Rais alivyoshuguliakia mapendekezo ya bunge kuhusu sakala la Escrow
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wakati fulani nauenzi uongozi wa Rais Benjamin Wiliam Mkapa hakuongoza kwa mashinikizo kutoka nje imefikia hatua hii baada ya kauli Sina ubia na mtu kwenye Urais wangu na kuwaengua Wazee kwamba hawana ruhusa ya kushauri jambo lolote mpaka waalikwe sasa meli inakwenda bila usukani ikifika bandarini tumshukuru Mungu kimataifa tumesifiwa kitaifa hakuna kitu

    ReplyDelete

Top Post Ad