Sentensi sita za Kamanda Kova akizungumzia story ya ‘Panya Road’ iliyozuka Dar Jana Jioni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwa na storykuhusu Dar kuhusu kikundi cha watu cha ‘Panya Road’ kuvamia maeneo mbalimbali, kupora vitu na kupiga watu.

Kamanda wa Polisi Suleiman Kova amezungumza kupitia kituo cha TBC1, amesema kuwa wananchi wanapaswa kuwa na amani kwa kuwa kikundi hicho kina wahalifu wachache, tayari kuwa wawili ambao wamekamatwa na oparesheni inaendelea ili kuwadhibiti.

“Sisi kama Jeshi la Polisi tumepata taarifa vilevile kama walivyopata watu wengine, kwamba hao vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ walikuwa wamezagaa maeneo mengi…”– Kamanda Kova.
“Hawa ni vijana ambao hawana kazi… hawana maadili mazuri… kwanza tuzungumzie uzito wa tatizo, jinsi ambavyo habari zilivyovuma zimevumishwa kubwa zaidi kuliko uzito wa tukio lenyewe… Nataka niwaambie wananchi kwamba endeleeni na shughuli zenu…”

Hatukatai kwamba hawa vijana wapo.. lakini nasema suala limekuzwa limetiwa hofu, watu wamepata hofu kupindukia …”
Wale wanaopeleka uvumi waache kwa sababu wewe hujaona tukio, ukiletewa message na wewe unampelekea mtu mwingine hiyo sio sahihi…”

Tutashughulikia suala la ‘Panya road’ na leo doria inaendelea usiku kucha, wananchi waondoe hofu wajue jeshi la Polisi lipo… Haiwezekani panya road wakatawala Dar es Salaam… Haiwezekani panya road wawe na nguvu kuliko jeshi la Polisi…”
Wamekamatwa wawili… tuliwakamata muda mfupi tu baada ya kuanza vurugu zao…”– Kamanda Kova.
~Millardayo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad