Seth 'Unahitaji Kuoa Mke Malaya Kitandani, Mwanaume Amejaa Tamaa Masaa 24, Acheni Kuoa Vituko Alafu Full Michepuko'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Heri yako wewe unayesaka Mke mwenye TABIA NZURI,mi huo Msako nimeacha siku nyingiii,Kama ni Tabia nitamuazima Tabia zangu tukishaoana..Kisa cha Kujinyima vitu vizuri kisa nasaka MAMA PAROKO??

Wakati wa Kutafuta Mtoto TABIA HAITUMIKI,ni mwendo wa Ashki tu na jinsi ntakavyopagawishwa na kucha zake na amenigusa wapi..Unahitaji kupata Mke "Malaya wa Kitanda"
Nikirudi na Stress za kazini niikute hii figa iko ndani ya Bikini tu inanisubiri,anidake aanze "KUTUMA SALAMU KWA HISIA" huku analalamika kwa uongo na kweli...TABIA IKAE MBALI HUKOO

Nikialikwa mtoko na washkaji sina haja ya kujiuliza kama niende mwenyewe au lah,Ntamwambia "Mke wangu leo usiku tunatoka Outing,please DRESS TO KILL",na muda wote wa mtoko nitakuwa nimemshika kiuno ili kutuma Meseji kwa kila anayeniangalia kwamba "YES NAFAIDI HILI BUNO BURE DEILE" na hapa TABIA WALA HAIHUSIKI!Kuna watu kila ukiwaalika hawaji na wake zao japo walioa TABIA,kisa MKE HAANGALIKI MARA 2...Mi sitaki hayo mambo...Nataka nikishtuka Usiku wa Manane pamoja na lepe la usingizi kunizidia lakini macho yangu yapangue giza totoro la chumbani nione HILI BUNO pembeni yangu,nilishike kwa uchu halafu nimshtue taratibu,"BEBI NAOMBA KIMOKO"

Goodnite Wasaka Tabia Njema,Ndo maana mnaibuka na vitu kichefuchefu mpaka unajisemea LABDA ALIPEWA DISKAUNTI YA MAHARI!
Mke wangu wa Milele lazima awe ANANISHTUA NIKIMUONA,Tabia ntampunguzia za kwangu!
Usioe Mke ana Shepu kama TANGAWIZI eti kwa kisingizio cha TABIA,Mwanaume amejawa Tamaa Masaa 24,mnaoa vituko halafu full kuchepuka na MABUNO,Tabia nzuri waachie MAKATEKISTA!

By Seth
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aiseeeee!!! Hiyo ni kweli kabisaaaa. Hii mambo ya kuoa tabia ni kuiacha huko. Yani kwa kweli hapo nimekuja gundua tuna mawazo mamoja. Huko nyuma niliwahi fanya makosa ya kuoa Mke tabia. Mbona niliiipata. Hata hamu sina. Mambo yote ni mademu sophisticated asikwambie mtu. Hao mademu huwa wazuri bwana Dah!!

    ReplyDelete
  2. Inawezekana Ukawa upo sawa iwapo utakubaliana na consiquencies zake maana.demu dizaini hii kuchepuka ni km maji na uhai ni lazima atachepuka kwa sana tu.

    ReplyDelete
  3. ha ha ha acha nicheke mie mke shepu tangawizi!!! hii kali. Nimeipenda ya kutoka out na mkeo maana wengine wake zao hawajui kabisa outing wanatoka na michepuko tu!!!

    ReplyDelete
  4. Hao mademu rafiki yangu ni mademu poa sana. Mambo yao yako update, wanaongea poa na actually ni mademu unaweza wa engage kwenye almost kila aina ya mazungumzo na wakawa poa tu. Aina hii ya mademu ni watulivu na wanachukua mambo slow. Hawana zile haraka haraka. Ni mademu ambao zile Fashion Catalogs zote zinazo trends wanazijua. Wanajua ni vitu gani vya kuvaa na kwa wakati gani. Hawa mademu hata ukiwa nao viwanja ni mademu wanaojua ni vitu gani vizuri vya kula na kunywa. Hawakurupuki..........usiombeee man!! ukipata bahati ya kuwa na aina ya demu kama huyu, hongera......Hawa mademu huwa wananukia all the time na manukato mbalimbali......Kimsingi ni aina ya mademu wanaojua kujitunza.

    ReplyDelete
  5. Heeeeeeeeeeeeeeeeeeee hii kali kweli kweli....nimecheka wala sina la kusema mie.

    ReplyDelete

Top Post Ad