AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini.
“Bondi ninamchunguza kwanza na kumpiga msasa awe wa tofauti na alivyokuwa zamani sijamtangaza rasmi kwa sababu kuna vitu bado sijajiridhisha kwake na naendelea kuvifanyia kazi nikijiridhisha basi ndani ya mwaka huu nitamtangaza rasmi,” alisema Wastara.
------------------------
Every day is a gift from God. There's no guarantee of tomorrow, so that tells me to see the good in this day to make the most of it.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hivi hawa wasanii wetu ni mamburulaaaz au? yaani kila kitu wanatupia mtandaoni... kuanzia siku ya kutongozana, majibu waliyopeana, walichokubaliana, walivyobusiana, walivyolalana hadi picha n.k Kwa kweli hiyo siyo sifa, ni ulimbukeni, ushamba na uzumbukuku..
ReplyDelete