Picha: Range Rover ya AY yamdatisha Daz Baba, asema AY ni mfano wa kuigwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amemmwagia sifa kibao rapper Ambwene Yessayah aka AY kuwa ni msanii wa kuigwa.
AY alitinga kwenye mazishi ya Mzee Ebby Sykes akiwa kwenye Range Rover ya rangi ya kijivu kitu ambacho kilimvutia Daz Baba...


Daz ameiambia Bongo5 kuwa AY ni mshikaji wake toka kipindi cha nyuma na anavutiwa na hustle zake.


AY akiondoka katika makaburi ya Kisutu baada ya mazishi ya Ebby Sykes akiwa kwenye Range Rover

“AY yuko vizuri sana, ni mfano wa kuigwa, mzee wa commercial toka kitambo anafanya muziki mzuri ndo maana unamuona hivyo, ” alisema Daz. “Jamaa anajituma, anafanya kazi kwa bidii ndio maana unaona hayo mafanikio yote,” aliongeza.

Pia Daz amesema kuna mpango wa kufanya ngoma na muimbaji huyo wa ‘Zigo’.

“Nina mpango wa kufanya naye kazi. AY ni mshkaji wangu toka kitambo kwahiyo kila kitu kitaenda sawa.”


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NDIO AY YUKO BOMBA SANA NOO SKENDO CHAFU CHAFU ANACHAPA KAZI KWA KWENDA MBELE BIG UP AY

    ReplyDelete
  2. Big up sana mzee wa commercial!!!! Ninakukubali na Mungu azidi kukubariki..

    ReplyDelete
  3. yuko vizuri sana,ni mfano wa kuigwa inshort anajitambua.

    ReplyDelete
  4. shule inamsaidia

    ReplyDelete
  5. Ay Yuki juu namkubali mno! Hana misifa wala mikashfa kama hii mijamaa ambayo madem yao yana mimba za kudownload

    ReplyDelete
  6. YES!!! HE IS A VERY GOOD BOY !!! KEEP IT UP AMBWENE!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad