Baada ya Wasira Kutia Aibu na Suti yake, Adamu Mchomvu Ajitolea Kuwa Designer Wake wa Suti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wasira wa Pili Kushoto akiwa na Viongozi wa Kanisa la Kisabato Uwanja wa Taifa huku Koti la Suti likiwa Limekosewa Kufungwa vifungo
Baada ya Suti ya aliyovaa Mh Wasira kuleta Ngumzo Mitandaoni , Leo Katika Kipindi cha XXL Clouds FM Mtangazaji Maarufu wa Kipindi hicho Adamu Mchomvu Amesema Kama Mh Wasira Atakubali Anajitolea kuwa Designer wa Suti zake za Mitoko ili Asitie Aibu Tena
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahhaha kwani mnyama wa polini anaweza kuvaa nguo?

    ReplyDelete
  2. hahahhaha kwani mnyama wa polini anaweza kuvaa nguo?

    ReplyDelete
  3. hahahahaaa very fun mkubwaaaaa

    ReplyDelete
  4. Ana wake 3 kweli wameshindwa gundua uwiiii kweli Wa msituni hafai mjini

    ReplyDelete
  5. Hhahhaha! Adam kaniacha hoi

    ReplyDelete
  6. Hiyo inaonyesha jinsi gani viongozi wetu wasivyokuwa makini .watu wa ku kurupuka ndiomana hata nchi yetu haisongi mbele

    ReplyDelete
  7. Hiyo style bab kubwa sio, bid up Wasira wakuache miaka 1000, usinge vaa hivyo wasingepata cha kuongea,,, Raisi wetu wa October 15.

    ReplyDelete
  8. Sio eti amevaa vibaya hapana hiyo ni style yake mpya kwani hainge wezekana avae hivyo. Alitaka kutuonyesha kwamba na suti inaweza kuvalia kwa style yoyote. Hongera mzee hiyo style ni yenyewe naipenda kishenzi wewee.

    ReplyDelete
  9. HALAFU ANATAKA URAIS ????????

    ReplyDelete
  10. I gotta my bega moja juuuu, swaga hizo wajameni

    ReplyDelete
  11. kuweni na adabu! baba zenu wangefanya hivyo mngechekelea?

    ReplyDelete
  12. Huyo mpiga picha naye feki tu! kwanini hakuona hilo kabla ya kupiga picha? na kumshauri avae vizuri! kupiga picha ni fani!

    ReplyDelete

Top Post Ad