Zari atupia picha ya mrembo aliyejichora jina la diamond Kwenye Ziwa na Kumuonya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog
MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua kutupia picha ya mrembo aliyejichora jina la Diamond kwenye ziwa 'nido' lake la kushoto...

Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.

Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo ila Kwenye Caption ya Picha hiyo Amemuonya kwa Kumwambia "Lolz he is Taken though"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio account ya Zari....haina _ mwishoni acheni uzushi

    ReplyDelete
  2. Na mimi nitajichora zari kwenye uboo wangu diamond akasilike

    ReplyDelete
  3. Na mimi nitajichora zari kwenye uboo wangu diamond akasilike

    ReplyDelete
  4. account sio ya zari

    ReplyDelete

Top Post Ad