JWTZ yaapa Kupambana na Majambazi Wanao pora Silaha za Askari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jeshi la wananchi nchini (JWTZ) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama nchini limeahidi kukabiliana na makundi ya watu wanaodaiwa kuwa majambazi sugu ambao wanapora silaha za ....



askari huku wengine wakiuawa hatua ambayo imeanza kutishia usalama wa nchi.

Akizungumza jijini Tanga kufuatia hivi karibuni makundi hayo kupora silaha na kisha kuua askari huko Rufiji mkoani Pwani na wengine wakipora askari wawili silaha nyakati za usiku jijini Tanga na kisha kuwadhuru hatua ambayo imesababisha kulazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga bombo,katibu mkuu wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa  JOB MASIMA amesema vyombo vya ulinzi vitakaa na kuhakikisha kuwa mtandao huu unapatikana ili kurejesha silaha hizo.

Hata hivyo katibu mkuu amekana vikali kuwa huenda makundi haya ya uhalifu yanayojihusisha na kupora silaha askari ni wahitimu waliopitia mafunzo ya jeshi la kujenga taifa JKT ambao baadhi yao hawakupata ajira baada ya kurudu uraiani na kuongeza kuwa hata wanaojihusisha na ugaidi sio wote ambao wamepitia mafunzo ya kijeshi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JITAHIDINI SANA MAANA HII NCHI IMESHAANZA KUOZA NA INANUKAAAA UVUNDO!!!! TUNAJIDAI TUNAAMANI KUMBE TUNA MAJANGA TUU !! WE FIKIRIA JAMBAZI ANAENDA KUMUUA ASKARI SASA SISI RAIA SI TUTACHINJWA KAMA KUKU JAMANI!!!! NA NYIE ASKARI MSIJISAHAU SANA MKADHANI MKIVAA HAYO MAGWANDA WATU WATAWAOGOPA SISI TUNAWATEGEMEA NYIE SASA MKIISHA SI TUTAKIMBILIA WAPI SI NDO MAJANGAAAAAAAA!!!!!

    ReplyDelete
  2. askari wetu inabidi wafunge mikanda sio kusubiri maandamo wakapige raia

    ReplyDelete
  3. Nendeni na wakati,''amkeni si swari tena''

    ReplyDelete
  4. majambazi ni hao hao wanajeshi hasa wasio na vyeo maana wamesahaaulika kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad