Kama uko above 30 huna mke/mume wala mtoto we ni masikini tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Niliwahi kuwa na mwanazuoni mmoja wa dini fulani akasema kwenye dini yao utajiri hauishii kwenye mali bali familia kwa maana ya mke na mume na watoto. Mtu anapomisi kitu kimoja wapo hapo uhesabika kuwa ni masikini tu hata kama ameacha mali kiasi gani.

Miaka hiii ya karibuni kuna watu maarufu hususani wasanii wanakufa wakiwa above 30 hawana mchumba ,mke,mtoto,hata nyumba hawana hao ni zaidi ya masikini tunatakiwa kuwaweka kundi la kapuku,usikubali kufa kapuku wanaume tuoe na wanawake muolewe acheni kuchaguachagua kama mnachagua nazi gengeni.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WEEE UMESEMA!!!!

    ReplyDelete
  2. TATIZO HAKUNA WAOLEWAJI WALA WAOWAJI, WOTE MATAPELI WANATAPELIANA BASI..........NI MISHIKO TU KWA KWENDA MBELE

    ReplyDelete

Top Post Ad