JB na Scandal Mpya Ndani ya Bongo Movies.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii anayefanya vizuri kunako bongo movie, Jacob Steven maarufu kama JB, hivi karibuni amekwaa scandal mpya ambayo imemshushia HESHIMA kama sio kumpunguzia credit ndani ya tasnia hiyo.

Msanii huyo maarufu amekumbwa na scandal hiyo baada ya muvi yake mpya kutoka inayofahamika kwa jina la MZEE WA SWAGA.

Muvi hiyo inayofanya vizuri sokoni inasadikiwa kukopiwa na ku paste kama ilivyo na moja ya movie maarufu kutoka bollywood inayofahamika kwa jina la "Ladies VS Ricky Bahl".

Akizungumza kupitia kipindi cha take one, Zamaradi Mketema amethibitisha usanii huo uliofanyika na kampuni maarufu ya JERUSALEM inayomilikiwa na JB, Kuwa karibia scene zote zilizochezwa na Filamu ya "mzee wa swaga" imeiga kama ilivyo kuanzia story hadi idadi ya waigizaji wakuu kutoka kwenye filamu hiyo ya kihindi iliyotoka mwaka 2011.

Mtangazaji huyo amelaani vikali utapeli huo uliofanyika na kampuni ya JB huku akijifanya yeye ndiye mtunzi na mwandishi wa story hiyo wakati ukweli anaujua mwenyewe.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi naona zama agemfuata na kumwambia jb mwenyewe so kwenye vyombo vya habari kamkosoa sawa but so kwa aaina hiyo sijapenda mbona kucvopy kupo tu sk zote za maisha yetu

    ReplyDelete
  2. HEEE MAKUBWA HAYA!!! JB HEBU TUAMBIE IMEKUWAJE KAKA??

    ReplyDelete
  3. mbona hilo halina mashiko, kwani wote tunaangaslia hizo muvi za kihindi, huyo zainabu nae kakosa la kuongea

    ReplyDelete
  4. kwa hiyo ndio tufanyeje sasa kama amecopy na kupesty.

    ReplyDelete
  5. ndo maisha yetu kukopi na kupesti

    ReplyDelete

Top Post Ad