Lowassa Kawa Lulu Bungeni , Wabunge Wapanga Foleni Kumuona

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hali yenye msisimko na ya kuonyesha jinsi gani mbunge wa Monduli Ndugu Lowassa anakubalika, imefikia kipindi hapati nafasi ya kupumua kutokana..
na uwingi wa wabunge kupishana kumuona....

Sasa nafkiri imefikia wakati spearker wa bunge aangalie hili jambo, na ikiwezekana apige stop wabunge kwenda kumsalimia Lowassa, imesikika moja wa mbunge akisema hayo.....

Inakadiriwa kwa siku Lowassa anaonwa na zaidi ya wabunge 80 kitu ambacho kinafanya sehemu alipokaa panakuwa busy sana.... Huu ni muendelezo wa kuonyesha ni jinsi gani Lowassa ana mvuto na anavyokubalika katika jamii....

NB: Kweli nyota njema uonekana asubuhi......
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. rais mtarajiwa!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe rudi shuleni ndugu,sio bull sheet Hi bullshit,hahahahahahahaaa Kama hujui uliza

      Delete
  2. 100 % he is the our coming pe
    recdent

    ReplyDelete
  3. Kama Lowasa kawa 'LULU" Membe atakuwa 'UWOYA"

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau umeongea la maana

      Delete
    2. ha ha ha mdau umenifurahi saaana!!! dah nimeipenda!!!

      Delete
  4. SI WANAONA NYOTA HEHEHEHEEEEE..!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad