Lulu Atoboa Siri ya Kufanya Vizuri Chuoni na Kuwazidi Wanafunzi Wengine Kwenye Matokeo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog
Mwigizaji Lulu Michael Ambae sasa Ameamua kwa moyo mmoja kurudi Shule pale chuo cha Serekali cha Magogoni Amehabarisha na Kutuambia ni kweli Darasani anafanya vizuri na kuwapita wenzake kwenye mitihani kama tulivyosikia na Siri yake moja kubwa ni
kujisomea hasa usiku wakati wengine wamelala , lulu Michael amesema kwa sasa starehe ameweka pembeni kabisa na kawaida analala saa saba usiku ....

Hongera lulu Kazi Buti
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chuo cha viburudisho aka failures!
    Unatakiwa uone aibu sio kutangaza sana maana tubajua kwamba wanaosoma pale ni wale waliokuwa wabovu form four or six. Sutf!

    ReplyDelete
  2. lulu form four ulipata 32 xa sjaelewa wamekupokeaje hapo chuon unarisit ama?

    ReplyDelete
  3. Jifunze kumkubali mtu pale anapofanya jambo la msingi cyo kudis ilimrad tu,sasa ww ndo unaonekana hata elimu yako hiyo unayodhan ulifaulu 4m4 na 4m6 mpk ukaenda university ni yakipuuz cz haija kusaidia zaid ya kukupoteza kujiona ww ni noma kumbe bwege tu
    .acha ujinga mkubwa ww hapo juu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Waliofaulu hawapigi hizi tarumbeta zenu za kujiona mnasoma, ila failures ndo wakienda shule wanataka kila mtu ajue. Kweli debe tupu lina mvumo mkubwa!

      Delete
  4. Hamna cha kuandika sasa,ndo siri hii kusoma usiku? Wfk

    ReplyDelete
  5. Nice my lulu.piga shule umeona mbali mungu akutangulie my young

    ReplyDelete

Top Post Ad