Mpenzi wa Zamani wa Wema Sepetu Athibitisha kuwa ZARI ni Mjamzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa,  mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni ......

mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.

Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika

 “Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu Mavazi..”

huku akiweka picha yake na mpenzi wake huyo wakitoka kwenye show ya miaka 38 ya CCM huko songea. Baada ya kukaa chini vizuri na wataalamu wetu hawa wa fasihi , walituhakikishia kuwa “Kileeeee” katika sentensi hiyo sio kitu kingine bali ni ujauzito alionao mrembo huyo na mara nyingi ukichunguza ndio kitu kinachomuharibia mwanadada au yoyote mavazi kirahisi hasa “kinapoanza” kuwa kikubwa.

Kweli tumeamini  lazima ujue tofauti ya msalaba na kujumlisha.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEE!

    ReplyDelete
  2. Kwani Zari yuko rahisi vip atakama ni mapenzi just 2months kushikana na m2 akujaze ball kirahisi hivo anacho anachotaka uyo kileeeeeeee chunga kaka. uloshinda mafisi paka utauweza???????????????

    ReplyDelete
  3. jamani mnapendezaje mpaka raha. diamond hapo umelamba bingo aiseee usiachie kabisa!!!

    ReplyDelete
  4. Siyo kitambi cha bia kweli? Ila mmh wanapendeza kote D kapita ila hapa hatari!!! Utafikiria mtoto yuko 20s looh!!

    ReplyDelete
  5. Domo wauweee! Lazima wakina mkwe wajinyonge mwaka huu! Acha project iendeleee.

    ReplyDelete
  6. Huyu mwanamke ni mjanja. Km domo huko makini iko cku utakumbuka shuka wakati juwa limetoka. Zari amebeba mimba bse anajuwa domo hana mtt soooo utajiri nje nje. Yetu macho na masikio

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yani hata mie Nina wasiwasi Na huyu dada yani kila nikimuangalia simuelewi ingawa mapenzi hayachagui lakini hapa Kuna kitu.kweli yetu macho Na masikio

      Delete
    2. ACHENI MAWIVU YENU HAKUNA KITU CHOCHOTE HAPO MBONA KAMA NI MALI ZARI ANAZO KUMZIDI DIAMOND??

      Delete
  7. MUSIJE MKAMLOGA MIMBA IKATOKA KWANI MULIDAI HAWEZI KUMJAZA MWANAMKE MIMBA LEO KUMCHUNGUZA MKE WA MWENZENU NI KWA NIA NJEMA AU MBAYA

    ReplyDelete
  8. Yani wamendana kimo wakati Dai akiwa Na Wema anakuwa hayuko comfortable Wema kamzidi urefu Dai anakuwa anapindapinda,lakini sasa hivi Na zari ananyooka.

    ReplyDelete
  9. Anonymous 12 :42 nyiye kweli mafala watu wajuwane kwa mwezi mmoja tuu na wakubaliyane mpaka kuza hawo wako pamoja siku nyingi labda hata mwaka

    ReplyDelete
    Replies
    1. INAWEZEKANA!! ILA DIAMOND ALIKUWA NA WEMA. BAADA YA KUTEMWA AKAAMUA KUFANYA KWELI. UKISHIKWA SHIKAMANA ZARI NAKUKUBALI WEMA UNASHIKWA HALAFU UNAACHIA ??? LAZIMA UTAANGUKA. BIG UPO DIAMOND MLEE MTOTO

      Delete
    2. Kwaniungeandika bila kutaja neno fala haungejulikana waongoza kwa ufala?wajua mwenda wazimu huona kila m2 niwazimu kama yeye. thanks for informing us that ua the highest fala in the world.

      Delete
  10. Watu hawo wako pamoja siku nyingi labda hata mwaka na zaidi rudiyeni nyuma tizameni zile picha zao wali piga pamoja zile siyi za myezi miwili tuu

    ReplyDelete
  11. huyu Dada mume wake ni muuza sembe mkubwa sasa mna uhakika gani yeye hafanyi sijui tajiri sijui nn unga huo na mungu ndo anajua, these pipo wanajijua,they are just fooling us eti biashara?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WATANZANIA NDIO KAZI YENU KUCHONGA SANA!! WAPE NAFASI JAMANI.

      Delete
    2. UNAJUAJE LABDA DOMO NAYE ANAFANYA!!!

      Delete
  12. anatafuta kiki sana na usuper star unajua hua unakuja naturally kuimba ndo kaibisaa hawezi niliona wimbo wake nikachekaaaa halafu hata sioo mzuzii hiivyo picha hizi jamani acheni tu ameshajulikana sasa atulie alee mimba

    ReplyDelete
  13. diamond safi sana

    ReplyDelete
  14. Acheni upimbi kwani mimba inaingia siku ngapi ndiyo mtu anakutana na changu siku hiyhiyo mimba inaingia ijekua Domo na dem bomba namna hiyo, acheni wivu acha dogo aendele project yake. Ulitaka uwe wewe?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WAAMBIE HAO !! DIAMOND BIG UP

      Delete

Top Post Ad