VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Aita WIFI Mwingine MKWE!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni



Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia  Esma  ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI.  Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.

Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma

Baada ya saa moja kupita,mwanadada Wema ambae alikuwa mpenzi wa Diamond nae aliibuka na kutupia, na ujumbe mzito wa kumtakia Esma furaha ya siku yake ya kuzaliwa na kumuita MKWE.

Happy Birthday to you my Gorgeous Mkwe.... Nakupenda juzi, jana, leo na kesho.... Si unajua vile tupo na ma Loveee ya ukweli kabisa.... Basi God grant u happiness honey on this special day ya kwako.... @esmaplatnum”-Wema aliandika na kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Esma

Kitendo hiki kilizua mjadali mkubwa sana mitandaoni, wapo waliosema Wema kama amejibu hivi kile alichoandika Zari, kwani angeweza kuandika na bila kumuita hata jina lake na sio MKWE kwani sio kweli kwamba huyo ni mkwe wake, na wapo wengine waliosema ni sawa kwani, Esma ameolewa na mfanyakazi wa Wema kwenye kampuni yake ya Endless Fame, Petti Man.

Wewe je umeionaje hii ya WIFI na MKWE!!!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. to me sion shida cos wote ni watu wanaomhusu sema IG wanapenda kukuza mambo

    ReplyDelete
  2. Wema Damu Zari arudi kwao akalee watoto aache ujinga kwanza kaingilia uhusiano wa watu simpendi ingawa simfahau ptuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wee acha ujinga wema alimwacha mwenyewe diamond akasema anampa nafasi.
      mwacheni diamond naye afurahie maisha. muulize wema bmw alipewa na nani???

      Delete
    2. Zari kwa raha zako tunakupenda saana tu. wana wivu haoooo usiwajali kabisa!!!

      Delete
    3. Jamani Zari kaingiliaje mapenzi Wema si kamuacha mwenyewe Chibu? Na akasema amempa likizo Chibu hatujui hiyo likizo itaisha lini hope ikiisha watarudiana tehe! tehe!tehe!

      Delete
  3. Wema sawa kumwita mkwe coz Petit amwita Wema mama, mwataraji amwite wif na hana kakake nkt

    ReplyDelete
  4. Wema sawa kumwita mkwe coz Petit amwita Wema mama, mwataraji amwite wif na hana kakake nkt

    ReplyDelete
  5. Beautifu Onyinye Oyeee

    ReplyDelete
  6. We love you Wema do not go back to Diamond sawa?

    ReplyDelete
  7. Mtuachie kamiss ketu hakana makuu love her much

    ReplyDelete
  8. Mie penda wema.

    ReplyDelete
  9. Wote mijibwa tuu.

    ReplyDelete
  10. ZARI POUWA SAAANA!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad