AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akipiga stori na Mwandishi Tiko alisema yeye ni ‘mgonjwa’ wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto.
“Yaani acha tu, mpenzi niliyenaye naona kama hajajiandaa maana hata nikiongelea ishu ya kubeba mimba, naona ananipotezea lakini kiukweli nahitaji mtoto wa pili,” alisema Tiko.
Haya Wadau wa Zali la Mental Mpo ?
-------------
You build on failure. You use it as a stepping stone. Close the door on the past. You don't try to forget the mistakes, but you don't dwell on it. You don't let it have any of your energy, or any of your time, or any of your space.
By Johnny Cash
Share Your Comment Below Using Facebook or Blogger Comment Box
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tusidanganyane huyo ni muuza nyago tu na kutafuta umaarufu mtandaoni
ReplyDeleteutanafuta kiki Tu
ReplyDeletelimbukeni mkubwa wee... kwani mwanaume wa kukuzalisha anapatikana kwa njia ya mtandao.? hao unaowavulia chupi ndiyo hao hao wakuzalishe...
ReplyDelete