AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wasanii hao wamekamata nafasi za kwanza wiki hii kwenye top ten za chart za muziki wa Afrika katika vituo vikubwa viwili vya runinga.
Diamond Platnumz amekamata nafasi ya kwanza kwenye African Top 10 ya Trace International na wimbo wake Ntampata Wapi.
Naye AY amekamata nafasi ya kwanza kwenye chart ya Africa Rox Countdown ya Soundcity kwa wimbo wa ‘Touch Me’ aliowashirikisha Sean Kingston na Ms Triniti.
Wasanii wengine wa Tanzania waliopo kwenye chart hiyo ni pamoja na Shaa na Navy Kenzo.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hongereni wakubwa!!
ReplyDeleteHONGERENI KWA SAAAAAAAANA
ReplyDeleteKill Dem Bways!!
ReplyDelete