Wimbo Mpya wa Ali Kiba Wavuja Mitandaoni , Usikilize Hapa Alafu Uweke Maoni yako Kama Utashika ama la

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog:Wimbo wa Mwanamuziki Ali Kiba aka King unaitwa WIFE wa Dunia Umevuja Mitandaoni Kabla yeye mwenyewe Hajautoa Rasmi...Nimekuwekea Hapa Chini uusikilize
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamna kitu msenge uyo ameisha saizi mxuuuuuu shenzi

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa kuwa wewe ni msenge basi unadhani wote ni hivyo?

      Delete
    2. wivu wako tu ndio maana unatukana bila sababu!!!

      Delete
  2. WIMBO UMETULIA HUO

    ReplyDelete
  3. siaminin kama hizi nyimbo zinavuja, nadhani ni aina ya strategy yake aliyoamua ili kuteka washabiki but itamcost sana. Just be real and true

    ReplyDelete
  4. Sauti nzuri ,mashairi hayana vionjo,kiba naona umeishiwa mashairi ndugu yangu,tafuta mtu akuandikie kama vipi

    ReplyDelete
  5. agekuwa mzee wa freemasoni watu mgesapoti hata kama hauna maana yani watu bana

    ReplyDelete
  6. UPO POUWA SAANA!!! HONGERA

    ReplyDelete
  7. Tangu lini Ali K na mashairi mazuri yalokwenda shule?? nyimbo zake zote kama anasema tu! mfano ile nyimbo ''Usiniseme" sasa utasema ina mashairi lkn vinanda vimetulia. ila domo c mchezo kwa mashairi matamu na vinanda vinaendana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna lolote wewe ni domoteam umeona wivu tu wimbo upo bomba saana tu!!!

      Delete
  8. Hana kitu huyo kiba mseme mtakavyosema diamond yupo level ya juu sana huwezi kumfananisha na ali kiba

    ReplyDelete
  9. Mh! Hamna kitu,ajipange sana tu!

    ReplyDelete

Top Post Ad