Ommy Dimpoz aelezea kosa alilofanya hadi kuzuiliwa uwanja wa ndege wa Marekani na kurudishwa Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji wa ‘Ndagushima’ Ommy Dimpoz, weekend iliyopita alizuiliwa uwanja wa ndege wa Marekani, na kurudishwa Tanzania hivyo kushindwa kufika kwenye show aliyotakiwa kufanya Las Vegas weekend hiyo.
Dimpoz ameelezea mkasa mzima ulivyokuwa hadi kurudishwa nyumbani licha ya kuwa tayari alikuwa ametua Marekani.....

Kilichotokea ni kwamba mi nilitoka hapa nikaenda mpaka Amsterdam, na Amsterdam nilikuwa naunganisha ndege kutoka Amsterdam kwenda Detroit na Detroit kwenda Vegas. Aliiambia Amplifaya ya Clouds Fm. “Kwahiyo kufika Amsterdam nilimiss flight ya connection ya kutoka Amsterdam kwenda Detroit ikabidi ni rebook booking yangu ili nipate flight nyingine ya kwenda Las Vegas.
Kwahiyo nikakosa ile connection ya kwenda Detroit ikabidi nipate connection nyingine kupitia Minnesota, nilivyofika kule ndege ambayo nilikuwa nimepata na connection niliyokuwa nimepata hii ya pili ikawa tayari imeshanichelewesha kwasababu nilitakiwa nifike usiku wa ile siku ya show, kwahiyo nikawa nimechelewa tayari, nikafika the next day.”

Aliendelea,

“Pale sasa kukawa kuna tatizo kule ikabidi wale watu wa siku ambayo walikuwa wameongea nao ilikuwa ni siku nyingine ikabidi waongee na jamaa kuwa jamaa amechelewa lakini tunaomba tufanye event next day, lakini jamaa wale wakakataa, na lengo ilikuwa mimi niperform kwenye hiyo weekend ya Rugby ile kama ulisikia alikuwepo Gyptian, Sauti Sol kwahiyo ilikuwa na mimi.”

Baada ya kufika uwanja wa ndege Marekani:

Kwahiyo wakapiga simu (Uhamiaji) kule kwa wale watu wa event pamoja na venue, watu wa venue wakawaambia kulitakiwa kuwe na show hapa lakini msanii hakufika kwahiyo ikabidi waongee na promoter , promoters wakasema yah show tumeisogeza kwasababu msanii alichelewa alimiss flight. Sasa wakarudi kwangu wakaniambia lengo lilikuwa ni kwenda kwenye hiyo show na show tayari umeishai miss […] akasema kwamba lakini hapa unaonekana una show nyingine New York tarehe 21 nikawaambia ndio ilikuwa nikitoka Vegas naenda New York, wakaniambia sasa hii show ndio tunatatizo nayo kwasababu ni show ambayo inahusiasha chama cha kisiasa, na hata kama uliona kwenye promotion yangu ilikuwa nimeandika nitakuwa na show kwenye miaka 38 ya CCM Marekani […] kwahiyo wakaniambia kwamba hii Visa yako haikuruhusu wewe kuna aina ya visa nyingine ambayo unatakiwa uwe nayo ndo unaweza kuruhusiwa kuperform kwenye hiyo show.“

“Kwahiyo kwa kuangalia wakasema option iliyopo ni kwamba unatakiwa urudi nyumbani kwasababu shughuli ambayo ilikuleta imeshashindikana[…] Nikawaambia basi sawa mi nitarudi nyumbani, kwahiyo nasubiria tu sasa hivi promoter wale ambao waliandaa show ya Vegas wapange tarehe kwaajili ya hiyo venue ya show nyingine then ntaendelea na mchakato.”

Kwanini alichelewa ndege ya kuunganisha?

“Unajua nilishazoea kukaa zile connection za masaa matatu reporting time, kwahiyo pale nilijichanganya kwenye masaa […] kwahiyo katika kuangalia pale fikra zangu na mawazo nilishagazoea labda nimeunganisha kwenda D.C za kwenda L.A unakuta ukiunganisha unaweza ukakaa pale masaa matatu kufanya connection ya kwenda, lakini ile ilikuwa ni connection ya muda mfupi ni kama ya lisaa limoja kwahiyo mpaka ushuke utoke uende geti unalotakiwa kwenda, kwahiyo katika zile mishe mishe nikajikuta ile ndege mlango ishafungwa.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo ndiotatizo letu tunajifanya tunajua kilakitu

    ReplyDelete
  2. Ushamba umekuzidi Dogo unashangaa sana na viwanja .Umefika ndani ya Schipol Airport hapo umepotea .Pengine hata Gate lake hajui lipo wapi next time mkamate mkono akija viwanja vikubwa huku.

    ReplyDelete
  3. we ni msenge yo nat serious at all

    ReplyDelete
  4. wewe sio kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hebu tuelezee wewe ukweli unaoujua, inaelekea mlikuwa pamoja na Ommy!

      Delete
    2. UKWELI NI KWAMBA KAMA UNA CONNCECT NDEGE UNAJULIKANA UNASHUKA KWENYE NDEGE GANI NA UNAPELEKWA HARAKA KWENYE NDEGE YAKO HATA SIYE TUMESAFIRI KWA CONNECTION YA MUDA MFUPI MUONGO WASANA ATASEMA NI UJANJA UJANJA TU WA KIBONGO

      Delete
  5. ndo ujue wanawake wengine kutembea nao nuksi,unaona sasa kimavi kimekukuta wewe ulifikri utakuwa na nyota kutembea na yule Malaya ona sasa,nenda kaoge maji ya bahari dogo.

    ReplyDelete
  6. sasa wanaosema diamond kamchongea wana akili kweli

    ReplyDelete
  7. hajaeleza ukweli!!!! kwa msafiri wa ndege anajua kabisa maelezo sio ya kweli labda kwa wasiopanda ndege!!!! wataamini maana hawajui huwa inakuaje uwanjani wakati wa kukonecti flight

    ReplyDelete
  8. Ukiwa kwenye ndege unaambiwa kabisa ndege nyingine itatoka mudagani. Mambo ya viza nafikiri ulikuwa na ya miezi mitatu, uhamiaji ya Amerika haina sababu ya kukuzuhia kwa vile ulichelewa shoo!! Hayo mambo waeleze waongo wenzako. Ngoja nikuulize swali moja, kama ndugu yako alikualika kuja kwenye ndoa yake, hapa Amerika na ukapata visa, alafu huyo ndugu yako akaailisha siku ya kufungu ndoa, je uhamiaji watakuzuhia kuja Amerika?? Watanzania mjirudi uongo mmezidi sana. JB

    ReplyDelete
  9. Hahaha duuh Ommy uongo kama huo atakaeamini ni Wema tu. Akili yake ni kichwa cha mwenda wazimu. Before landing huwa wanaonyesha kwenye screen za kwenye ndege ma gate yote. Na kwa Maimuna kama wewe wangekupeleka kwenye gate lako. Pili hata kama ulikuwa wapi wangetangaza ''this is the last call for passenger Ommy DImpoz''. Kwa maana hiyo ungeahirisha zoezi la kupiga piga picha za kishamba pale schiphol ili uje kurusha roho.Ushadundishwa dogoo.Anza upya. Halafu acha kulala na malaya wenye gundu. Ndio beginning of the end. Wajanja na wenye akili washatapika ww unaona uhondo. Pole sana.

    ReplyDelete
  10. Umenifungua macho JB.me niliamini uongo wake

    ReplyDelete
  11. Huwa hataa cc husafiri na kmhuelewi kuna wafanyakazi uwanja wa ndege hukuelekeza kila kitu

    ReplyDelete
  12. NDIO HUYU MUONGO SANA ATOE SABABU ZA KWELI ALIZOSEMA HAPO JUU NI ZA UONGO

    ReplyDelete

Top Post Ad