Picha ya Nay wa Mitego Akiwa na Msichana Uchi Kitandani Yazua Mjadala, Wengi Wasema ni Udhalilishaji wa Mwanamke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Picha hii imepostiwa kupitia Account ya msanii wa Nay Wamitego ya Instagram akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi unaonekana.
Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania.

Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.
Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.

Je Una maoni Gani?

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyinyi waswahili mna shida sana, mkiona picha kama hizi mnasema ushi, mkiwaona mtaani wanatembea uchi hamsemi, mbona mnasumbua sasa

    ReplyDelete
  2. Hajamzalilisha wala nini!bint mwenyewe ameonesha nia na kufurahia

    ReplyDelete
  3. kaaa jamani hata kama anashuti video mbona mdada yuko uchi kabisa?? kama ni uzungu mbona kazi tunayo?

    ReplyDelete
  4. Acheni ufala uchii uchii mbona mabaya mwayafanya zaidi ya hayo halafu mbona iko poa tuu...mwacheni mwana ale bata...kwendaaa!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwendaaaaaaaaa!!! wewe unayefurahi ujinga!!!

      Delete
  5. Dunia inapoendea tutatembea uchi wa mnyama na 2kaona ni sawa au fasheni!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Uji uchi watu wote huyu ndio mmeona yupo uchi sasa huwa wanaogana dawa na nguo kila mtu ana dhambi zake

    ReplyDelete
  7. Uji uchi watu wote huyu ndio mmeona yupo uchi sasa huwa wanaogana dawa na nguo kila mtu ana dhambi zake

    ReplyDelete
  8. mbona umeandika madudu uji uchu ndio nn

    ReplyDelete
  9. NeY mbona hata XXX Huwa anacheza. Acha awacharaze malaya wa kibongo Mamae zao

    ReplyDelete
  10. mdada mwenyewe ammefurahia so we cant judge let them do

    ReplyDelete

Top Post Ad