Uongozi wa Msanii Chris Brown Upo Tayari Kufanya Kazi na Ally Kiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kampuni za SAMSUNG....


Kwa taarifa zilizopo katika mtandao wa VIP Beats nchini marekani zinaeleza kua tarehe 24 mwezi wa 11 mwaka 2014 uongozi wa msanii Chris Brown ulipokea maombi ya muungano wa wasanii wawili kufanya wimbo wa pamoja kati ya msanii Ali kiba na Chris Brown maombi hayo yaliambatanishwa na Softcopy zilizobeba nyimbo tatu za msanii Ali kiba ikiwemo SINGLE BOY,

MWANA pamoja na wimbo aliofanya katika project ya ONE 8. Uongozi wa Chris Brown umethibitisha kupokea taarifa za maombi hayo na umeonesha kupenda sauti ya msanii Ali kiba na kutoa tamko kua wapo tayari kusimamia kazi ya pamoja itakayofanywa na wasanii hawa.

Upande wa msanii Chris Brown amesema hana tatizo yupo tayari kushirikiana na msanii Ali kiba kwani alipata nafasi ya kutazama project ya One 8 na ameona kiwango cha msanii Ali kiba kinaridhisha

Japokua anahitaji marekebisho madogo sana. BBC SWAHILI Tunampongeza msanii Ali kiba kwa juhudi zake tunamtakia kila lakheri katika kazi hii, kuipata habari hii kamili tembelea mtandao wa VIP Beats, Channel 0 au unaweza kuipata katika American Spring news.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa udaku mpo wapi ongeeni sasa? ingelikua Diam hapo munge chana hizo blog zenu. Mtoto anafanya mambo yake taratibu sio mambo ya wanawake eti nini, wala sijui kafanya nini kampachika mimba wala wana tembea wote hizo sio habari. Habari ni hiyi ya sauti ya Mwana kafanya mambo yake taratibu sasa ana tukuta huku. Karibu Alikiba. Nakupenda sana kwa jinsi uko mpole huwendi mu mambo ya ujinga yawanawake. Hongera.

    ReplyDelete
  2. mi huwa nawapenda A.Y na Ali Kiba

    ReplyDelete
  3. Hongera ali kiba

    ReplyDelete
  4. Mungu ndiye
    mtoaji na mpangaji,akisema ndiyo hakuna wa kusema siyo.

    ReplyDelete
  5. HONGERA SANA ALI KIBA!!! BIG UP BROO

    ReplyDelete
  6. HONGERA SANA KAKA UPO JUUU SAANA!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad