Wavulana Ma-handsome Hawana Lolote Kitandani..Kazi Kuchafuana Tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog: Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili.....

Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa.

Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMEISHIWA MADA ZA KUPOST WAMILIKI WA BLOG. HII MADA MSHAIWEKA SANA HAPA SIS TUNAICHOKA. KUWENI UPDATE BWANA.

    ReplyDelete
  2. Wazembe wa kazi mambo yenu mengi huwa ya kitoto stori hazana miguu wala kichwa

    ReplyDelete
  3. jaribuni kwangu mimi ni handsome halafu muone!!

    ReplyDelete

Top Post Ad