Wema Sepetu Khaaa! Aenda South Africa kula Bata na Aliyekuwa Mume wa Zari ‘What Goes Around Comes Around'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuanzia Kulia: King Lawrence, Ivan Ssemwinga na Wema Sepetu
Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume wa Zari The Bosslady na aliyezaa naye watoto watatu ameanza kurusha mashambulizi kwa adui yake namba moja, Diamond Platnumz....



Mfanyabiashara huyo mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini huenda akalipiza kisasi kwa Diamond anayetarajia kupata mtoto wake wa kwanza kutoka kwa Zari kwa mbinu ya ‘jino kwa jino’ ama zile za ‘kama noma basi iwe noma’.

Picha liko hivi, Wema Sepetu kumbe yupo nchini Afrika Kusini ambako hata hivyo hatufahamu ameenda kufanya nini. Mshkaji wa karibu wa Ivan, King Lawrence (Yule mchizi aliyempa ofa Diamond ya $40,000 ili aachane na Zari), ameshare picha kwenye mtandao wa Instagram akila bata na Wema huku Ivan akiwpo pia.
Wema, Ivan na Lawrence akiwa na demu wake

Kwenye picha hizo, Lawrence anaonekana akiwa amekaa juu ya mapaja ya msichana asiyejulikana na pembeni yake yupo Ivan huku Wema aliyevaa kigauni kifupi cheusi akiwa kulia kwake.

Lawrence pia amepost video kadhaa akiwa kwenye club hiyo na kuziandika ujumbe wa mfumbo ambao unaeleweka wazi kuwa unawaendea Zari na Diamond. “Rich Gangstas – What goes around comes around,” ameandika. “Oh Z*** get out of the way,” ameandika kwenye video nyingine ambayo unasikika wimbo wa Ludacris, Move Bitc*.

Awali Lawrence alipost picha nyingine hiyo chini akiwa kwenye eneo lile lile ambalo Wema alipiga picha.

Ni mapema sana kuhitimisha kuwa Ivan anataka kulipiza kisasi kwa Diamond kwa kumchukua Wema, lakini ni wazi kuwa kambi yake inataka kupeleka ujumbe ulio wazi kwa Chibu kuwa ‘vita imeanza’.

Acha project iendelee…
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hajaenda kula bata kaenda kushoot video na ommy dimpoooo.... Upo jombaa? Hao mbugila walimwalika tu hapo.

    ReplyDelete
  2. Ahaaaaaaaaaaaaaa yetu macho acha movie iendeleeeeee uku wengine wanaingiza pesa.....dunian raha sana.....wapi king@@@*/#~

    ReplyDelete
  3. Hatuwasomi jana tu mmetuambia wema na dimpooz ndani ya project then within 24 hours mnakuja na project nyingine,tumlaumu nani admin au ndo dada yetu huyo sio rizki jamani....natoa hoja

    ReplyDelete
  4. huyu dada boya tu, kama kaenda mfungulia miguu huyo jamaa kulipiza kisasa, atakuwa bwege sana!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Halafu muone kavaa kinguo nusu uchi ili atakaekuwa wa kwanza kusimamisha amhudumie bila matatizo. Mipaja kaa uji wa ulezi Ptuu. Nasikia pampucha lake halina elestic tena. Limebaki mwaa kwa kupitiwa na wajanja. Nyie team wema hebu ongeeni na bosi wenu. Mwambieni kishafulia. Hata Ivan akimpitia hatamuoa. Nani kamwambia wanaume wenye akili wanaoa malaya a.k.a vyoo vya serikali??!!

      Delete
  5. MMMBONA MIYE SIELEWI JANA OMMY LEO MUME WA ZARI JAMANI????????????

    ReplyDelete
  6. Ivan awezi kutembea na hilo boya, wema ajafikia viwango vya Kuwa na Ivan, c unaona ata hizo picha Ivan aonyeshi kabisa kujishughulisha na hilo boya! C tunamjua boya letu angekuwa ameonyeshwa japo kaushirikiano na Ivan wa kupiga nae ata kapicha kamoja peke yao hizo picha angezisambaza Mda huo huo. Hana jipya wema hiyo pampucha yke imenock.

    ReplyDelete
  7. kwa mfano wakaamua kutoka kwani kunatatizo si wote wapo uhuru

    ReplyDelete
  8. we kuma unaesema papucha ya wema inanuka, yako nahisi inatoa funza. umtoe mdomoni mtt wa watun katembea na baba ako mpaka umwandame hvyo? au ali msaga mama ako? acha usenge. fatilia dada zako wanaopewa mimba huko ucku na mchana. malaya mzee wewe!

    ReplyDelete
  9. We anonymous 3:14 kajambe kuleeee. Nani asijua pampucha ya Sepetunga imeoza inanuka na kutoa funza??!! Mfyuuu. Taka usitake Wema is a public toilet..wanao harisha wanaokunya mavi ya kijani njano mekundu, wanaokojoa kawaida, wenye vichocho, wanaotaka kujamba wote wanakaribishwa. Si ajabu ww ndio design za Sepetunga. malaya mchafu mwenzio. Mna compare notes mkionana jinsi ya kurudisha km kwenye pampucha zenu kama si kupeleka tena China zikachongwe kama siku zile sepetunga alivyoenda akaokotwa na Dai..Pita kuleeeee

    ReplyDelete
  10. Kumbe ni msagji!!!!

    ReplyDelete
  11. Sasa matuc ya nn mambo hayawahuyu mapovu tu yanawatoka mnajidhihirisha mlivyo wachafu watabia mpaka miili yenu mnataka mumtie nyie wabongo kazi kwelikweli mnashupalia kitu ambacho hata hamkijui A wala B,nyie ndo malaya wakubwa msie na mbele wala nyuma,mwacheni mtoto wa watu kila cku matuc asifanye kitu matuc,akiuza si yake kwani ya mama zenu hiyo k kwamba mnasikia uchungu mama anakazwa hovyo,fyuuuuuuuuu mapovu tu km K yenu.

    ReplyDelete
  12. Sasa matuc ya nn mambo hayawahuyu mapovu tu yanawatoka mnajidhihirisha mlivyo wachafu watabia mpaka miili yenu mnataka mumtie nyie wabongo kazi kwelikweli mnashupalia kitu ambacho hata hamkijui A wala B,nyie ndo malaya wakubwa msie na mbele wala nyuma,mwacheni mtoto wa watu kila cku matuc asifanye kitu matuc,akiuza si yake kwani ya mama zenu hiyo k kwamba mnasikia uchungu mama anakazwa hovyo,fyuuuuuuuuu mapovu tu km K yenu.

    ReplyDelete
  13. kama yeye ni kioo cha jamii lazma tutukane..wanaharibu wasichana wadogo wanakua wakifikiria maisha sasa ni uzuri na kuhongwa...ujinga mtupu...maendeleo hayarudishwi nyuma na escrow tu...hawa kina wema ndo no 1,,,stupid whore.

    ReplyDelete
  14. Jaman hebu punguzeni ulimbukeni wa utandawazi kiasi hiki. Yaani imeshakua desturi sasa Wema akioneka na mwanaume yeyote yule basi kamvulia chupi. Na mitandao nayo kama huyu ni walewale, pasipo hata kuchunguza vizuri tayar ameshawasilisha habari kwa style anayoijua yeye ili tu kuzidi kumchafua huyu dada. Sasa huyu Wema ataishi maisha yapi kama kile atakaeonekana nae basi katembea nae na matusi mazito juu yake. Awe mtu wa kujifungia tu chumbani au afe kabisa? Hebu wakat mwingine punguzeni ushabiki wa kitumwa.

    ReplyDelete
  15. Foolish......nyie mmeemuona tu wema kwasababu anaonekana hao dada zenu huko mtaan hamuwaon o kwasababu hawaonekani......shenzi zenu wanafik nyie....wema sio mtoto anajua anachokfanya.....huyo chibu katoka nawangapi.....nyokonyoko kufatilia maisha ya wwnzenu pga pcha kama ungekuwa or sister angekuwa kwny nafas ya wema...watu wengine waseeeeeeee.........minary

    ReplyDelete

Top Post Ad