Baada ya Serengeti Boy Kujinadi Kulifaidi Kufaidi Penzi Lake, Wolper Achukulia Kama Changamoto!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo na staa wa bongo movies, Jackline  Massawe Wolper ameonyesha kuchukulia ni kama changamoto kitendo cha msanii wa muziki kutoka kundi la makomando Fredy Felix  ambae ni bwa’mdogo “Serengeti Boy” kujinadi hadharani kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wolper huku akielezea njinsi alivyompata na kumsifu kuwa alimpata penzi ambalo hatoweza kulisahau.

Felix aliyasema hayo hivi juzi kati alipokuwa akifanya mahojiano na Global Tv online nakusababisha stori hii kuenea kwa kasi sana kwenye magazeti na blogs za udaku.

Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper aliandika ujumbe unaoonyesha  kwa namna moja au nyingine kitendo hicho amekichukulia kama ni changamoto tu za maisha ya zamani.

Wolper aliandika maneno haya kwa lugha ya kimombo

“The past can hurt but the way I see it, you can either run from it or learn from it”.

Kwa tafsiri isiyo rasmi anaamanisha kuwa mambo yaliyopita yanaweka kuumiza lakini kwa jinsi anavyo yatazama yeye , unaeza kuyakimbia au kujifunza kutokana yaliyopita.

Mara baada ya ujumbe huu, mashabiki wake wengi walimpa moyo huku wakimponda kijana Felix kwa kufanya kitendo ambacho wengi walisema cha kipumbavu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli ujinga....mtupu akikua ataacha

    ReplyDelete
  2. DOGO KATAFUTA UMAARUFU TU,PUMBAVU ZAKE

    ReplyDelete
  3. Katafuta umaarufu wapi amekula mzigo huo si unaona hata Wolper mwenyewe hajatia neno...anakumbukia dogo alivyokua akimkatikia unafanya masihala wewe!!

    ReplyDelete
  4. Dago hapo umechemka, tafuta namna nyingine ya kutoka

    ReplyDelete
  5. NIPE MIMI HAKIKA HATA WEWE SITA KWAMBIA NATAMANI SANAAA NIPATE MAUTAMU YAKOOOOO

    ReplyDelete

Top Post Ad