Lemutuz Aishauri Serekali Kulipa Wafanyakazi Kila Week Kama Ulaya..Badala ya Kila Mwezi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ubuyu Kutoka Instagram Leo tunaruka na Supastaa William Malecela a.k.a Lemutuz...Leo Amewashukia Serekali na Kuwa Ushauri :

"LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK:- Morning People it is about time now Serikali ikaweka Sheria ya kuwalipa mshahara wafanyakazi kwa wiki badala ya mwisho wa mwezi kama ilivyo sasa haiko sawa cause nchi zote zilizoendelea Duniani watu wake hulipwa kwa wiki na ndio hasa maana ya MICRO ECONOMY.....kazi ya Serikali ni kukusanya Kodi tu now ukiwalipa watu kila Ijumaa ni guarantee by Jumatatu 95% ya ile pesa itakuwa imerudi Serikalini kwa sababu ukishawajenga watu kuamini mshahara upo kila Ijumaa you are creating Consumer's Confidence ambayo ndio number One key to any economic growth..............ama.sivyo unacreate uchumi kama tulionao wa kukimbia mwisho wa mwezi siku za mishahara na kusimama mwezi mzima mpaka mwisho wa mwezi tena Serikali inakusanya big kodi mwisho wa mwezi halafu inapumzika mpaka mwisho waa mwezi tena............Wazungu wanasema INSANITY ni kurudia njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti kama hatuwezi kubadili mambo madogo madogo kama namna ya kulipana mshahara tutaendelea kurudi kinyume nyume kama tulivyo now ili kukimbiza Uchumi lazima mishahara ilipwe mwisho wa.wiki na kuwepo na mfumo rahisi wa kukopa na kurudisha benki! I was just thinking aloud! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!' - le Mutuz

Je Unauonaje Huo Ushauri Kutoka Kwa Lemutuz?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. It's not gonna work 'coz pesa ya kibongo haina thamani maisha ni aghari sana na thamani ya pesa ndiyo hivyo haina mpango ukienda bar au shopping uende na gunia la pesa so forget it

    ReplyDelete
  2. Kaanza lini ushauri huyu muuza sura anaetafuta mademu magazetini na kuona ufahari kupiga nao picha.,sio kiivyo bwege wewe hata ufikirii unalosema we unaona inawezekana.,akili yako unawaza Leo uende wapi upige picha na malaya wenzako.,utamshauri nani wewe acha kurusha stimu za wanaume marijali bwege bonge wee,km umeshindwa kuwashauri unaopiga nao picha deile kaombe ushauri kwa bana na mana yako uishije na maadili ta Tanzania.......hujitambui unaropoka tu....,

    ReplyDelete

Top Post Ad