Hemed PHD Afunguka Kuhusu Kutumia Poda za Kike, Ndoa yake Kubuma na Kwanini Anapendwa Sana na Wadada

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special TV inakuletea Mahojiano tuliyoyafanya na Mwanamuziki na Mwigizaji Mwenye Skendo Nyingi Bongo..Tulimweka Mguu Kati na Kumbana Vilivyo na Kuweza Kufunguka Kwanini Anatumia Poda na Lipshine za Kike pia Kuhusu Ndoa aliyohaidi 2014 kubuma na mwisho alisema kwanini anapendwa na Wadada mpaka muda mwingine kumgombania

 ANGALIA VIDEO FUPI HAPA CHINI AKIFUNGUKA UKWELI WAKE:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah dunia inaenda pabaya mtoto wa kiume anajisifia kupaka make up na lipshine then unajisifia wanawake wanakupenda hili ndo tatizo la hawa wanaojiita mastar bongo hawana ile akili ya kujielezea pumbaaaav haya kesho uje kujisifu unavaa bikini sawa

    ReplyDelete

Top Post Ad