Juma Nature: Nikitaka ubunge wa Temeke naupata kirahisi kabisa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi.

Nature ameiambia XXL ya Clouds FM kuwa alishafuatwa na baadhi ya viongozi wamkita agombee nafasi hiyo.

“Walishanifuata watu, lakini kwa mwaka huu nimeona kwanza nikaushe,” amesema Nature. “Mimi mbona ubunge wa Temeke nakula, tena vizuri kabisa, bila hata matatizo. Kwa vyama mbalimbali siwezi kuvitaja, nimeacha kwanza akina Professor wachukue kwanza, lakini baadaye miaka mingapi usije ukashangaa nipo mjengoni, nimevaa suti kali,” aliongeza msanii huyo.

Nature alisema akiwa mbunge wa Temeke ataanza kushungulia miundo mbinu ya barabara pamoja na ujenzi holela ambao umekuwa ukisababisha mafuriko mara kwa mara.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anaongea upumbavu anatakiwa kuijua siasa ya Tanzaina kwanza badala ya kuwa na mawazo ya kuvaa suti ya nguvu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mhhhh!yeye na ubunge wapi na wapi

      Delete
  2. huyu naye mume wa sinta atuondolee uteja

    ReplyDelete
  3. Dogo bangi na siasa ni njia mbili zilizo na tofauti kwa hiyo waachie wenye uwezo na kigezo katika mantiki hiyo ya siasa wewe kaa chonjo

    ReplyDelete
  4. Kwan kuna nn bungen jaman au ndo pesa ziliko jengaa? hadi Huyuu

    ReplyDelete
  5. SUBUTU NANI AKUPE WEWE BANGI TUPU?? NDO UNAJIDANGANYA?? UKIPATA UBUNGE WEWE DAR ITAHAMA TANZANIA!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad