Kiongozi wa Team Wema Sepetu DougieMasta Amjibu Ray C..Ampa Michambo ya Haja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Ray C Kuwashukia Team Wema Sepetu na Kuwapa Vidonge vyao sasa kubwa la maadui Dogiemasta kutoka Instagram ambae ndio mtari wa mbele kumlinda Wema kwa lolote amefunguka haya hapa chini kuhusu RAY C kupitia Instagram:

'Halooooo ya kisoda kinakwangua mpaka karoti...wewe Rayc mala..ya tu utaniambia nini wewe ndio sina kazi ya kuniingizia pesa ila nina kazi halali ambayo imesibitishwa na tbs UMBEA NDIO KAZI YANGUb eti unajitia nakugombanisha na mastaa wenzio hivi wakiitwa mastaa na wewe unatoka staa mla unga kwani mwenzetu wewe nyoka maana unga anakula nyoka staa teja staa tapeli staa mwizi wa wanaume za watu hahaha sijawahi kuona haya huo ustaa wako wa nini Ray c ulikuwa enzi izo now jiite tu rehema maana kwanz upo kama mpila wa ma..vi shapeless usoless pesaless unamadeni mpaka kwenye macho yako afu unajitiaa staa...staa hata kwenye red carpet hawakujui..

 Acha kubadili mada lipa pesa za watu tapeli mkubwa wew unamtia wema kwenye mada zako za utapeli yeye ndo anakuchamba au tutolee shobo zako mbinuko sis...na nyie mbwa wengine mnajitia namtengenezea wema maadui mnitolee utumbo wenu sijaomba commnt zenu sawa nyege zenu na miwasho yenu ndo ilowaleta...huyu mijicho akiamua kumchukia wema ni juu yake ila so long as tunajua tupo wengi tunaomkubali sasa kama anaonea wanyonge tumkalie kimya Ray c hukoo kwa mateja wenzenu kwetu wema tu so...hii ni accnt yang yes namtetea wema ila atakaeleta umbea malalamiko toka kwa so called superstaa vijiko tunamtililisha vile vile ...nitoleeni unafki wenu hapa wakichambwa wengine vihere here kucommnt masta nyoko mxiuu wakiwekwa mnao wapenda mnajitia walokole sasa nihivi leo nitakichambisha mpaka kieleweke pesa atatoa au atoi hilo ndo jibu....MM NDO DOUGIEMASTA usipanic kabla sijakupanikisha maana utakimbia mji...halooooo KAOGEEEEEE LAKN HATA UKIOGAA KWENYE MZIKI ULISHA OZA KITAMBO UKANUKA TUKAKUZIKA NA RIP TUMEKUPA SO TUMA REQUEST KWA SIR GOD UKAUMBWE UPYA HAHAHA'
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. malaya tuu hao hawana kazi za kufanya

    ReplyDelete
  2. Hata niki comment unabania,comment mwenyewe sasa

    ReplyDelete
  3. HAHAAAA, YA LEO KALIIIIII.

    ReplyDelete
  4. Du! sihami mjini kutamuuuuu kama Wema.

    ReplyDelete
  5. mpe za uso huyo r mavi, toka asaidiwe na jk anajiona wa maana, kumbe fuvu la kale.

    ReplyDelete
  6. Hapa kinachogomba ni shule tu!

    ReplyDelete
  7. Yaaani haswaa Tatizo ni skuli, hawa nimegundua ni waswahili haswaa wasio na shule. Kimsingi hakuna jipya hapa zaidi ya vigodoro, midundiko na baikoko.

    Pambafff, msitupotezee muda hapa. Mimi si tim wema wala ray c lakini hata kama ray c alipiti katika mtihani wa kutumia sembe lkn anajitambua coz ameacha na inaonekana kabisa anayayatambua maisha yake sasa na yuko tayari ku move forward kwa matumaini makubwa sana kimaendeleo.

    Tukirudi kwa dada Sepetu yeye kila siku ni mtu asiyejitambua na kwa kukuhakikishia wewe unayejiita tim wema nakupa siku chache sana kama miaka mitatu hivi ya kumtoa wema barabarani coz hatokua na mvuto tena sababu ya uzee na ukizingatia kuna warembo wengi tuu wanazaliwa na wanakua.

    Hapo ndiyo itakua fainali yenu wakati huo mwenzenu ray c atakua anatengeneza maisha yake ndipo mtakapo hamia kKIBAIGWA kwa maana Dar itakuwa chungu kwenu.


    Endeleeni kupoteza muda hapo wakati umri wenu ukisonga mbele

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona na ww unapoetza mda wako tena usokuwa na faida kutuandiki gazeti si umepoteza md na mb8 zmeisha

      Delete
  8. malaya tu hao,,

    ReplyDelete
  9. malaya tu hao,,

    ReplyDelete
  10. Wema na mpenda ila anapotea na sifa za mjini wanawake na maendeleo ya kiuchumi,kisiasa nasiyo tabia mbaya ebu wacheki mamiss wenziye wanapiga maela yeye sifa za kijinga tatizo watu wake mnapenda kumsifia upuuzi kumbe hamumjengi alafu kwanini Wema usamei ivi unashindwa kusamehana na Kajala?jua dunia mali ya Mungu.

    ReplyDelete

Top Post Ad