Kifo cha Captain Komba Chamfungua Macho Lemutuz..Aanza Kupunguza Unene wa Mwili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK!!;- Morning people U know binadam mwenye akili siku zote hujifunza kwa kuona bila kusubiri kuambiwa.....sihitaji kuambiwa kulichomuua Captain Komba for sure after all is said and done kilichomuua ni UNENE tu hamna lolote lingine I mean kama ni ugonjwa ulianzia kwenye UNENE....now I took a note na tayari nimeshaanza mazoezi tena leo asubuhi I realiza that nilikuwa nimejizembea sana toka nirudi bongo lakini now I got a wake up call na msiba wa Komba.....na it is my hope kila mtu mwenye akili timamu amejifunza wala huhitaji kuambiwa na mtu kwamba Moyo wa Marehemu lazima ulikuwa umezidiwa na mafuta....I mean wote tutakufa anyways ila ni muhimu kuchukua tahadhari badala ya KUJIUA mwenyewe!, PEOPLE KAMA NI MNENE KULIKO INAVYOTAKIWA CHUKUA TAHADHARI ANZA MAZOEZI! CHANGE YOUR LIFESTYLE NOW! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA! - le Mutuz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bwege tuu hilo jamaa

    ReplyDelete
  2. Watu wengi ni wagonjwa si unene si wembamba ila uwezo wa kupima afya zetu hatuna ni gharama kuweza kupima afya zetu ili kuweza kuupatia huduma zinazostahili

    ReplyDelete
  3. too much overweigt, low fysicks activities, too much alkohol, stress. kama mfutaji wa sigara stop smoking. hizo ni moja wapo za risko facter za matatizo mengi. au zinaitwa kwa jina lingine life stayle, mfumo wa maisha unaishi. na matatizo yake

    ReplyDelete
  4. Unene utapungua zaidi ya aslimia 75 kutokana na diet (aina ya vyakula) na asilimia 25 inachangiwa na hayo mazoezi. Katika kuchangia tu maelezo yako LA MUTUZ ni kwamba angalia sana nini unakula (aina ya chakula,kiasi gani na wakati gani unakula).

    ReplyDelete
  5. njoo kwangu nikuuzie vitu vya kupunguza unenen vya miti shamba

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Top Post Ad