Msiba Wa Komba: Wema Atoboa Kuwa Yeye ni Mwana CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu mbali mbali wakiwemo  waigizaji wa filamu hapa nchni wanaendelea kuonyesha  jinsi  walivyoguswa na kifo cha Mh. Captain John Komba kupita kurasa zao za mitandaoni usasani mtandao wa Instagram, wamekuwa kuweka picha  yake na kuandika maneno ya kumtakia kheri huko aendako.

Mwigizaji  Wema Sepetu nae ni mojawapo alieguswa na msiba huu na kuandika mameno kuonyesha majonzi alionayo  na kutoa kuwa  yeye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi  (CCM)kama alivyokuwa marehemu.

“Dah ni pigo kubwa sana.... RIP Mwana CCM mwenzangu..... RIP Baba angu... RIP Captain.... Mbele yako nyuma yetu... Taifa this tym linahuzunika kwako aisee... Kwaheri Baba...”-Wema aliandika.

Baadhi ya waigizaji nao waliandika kwenye kurasa zao mtandaoni kama ifuatayo;

“Pumzika kwa amani kaka yangudaima tutakukumbuka”-JB

“R. I. P. Mh komba kifo nimlango wote tutapita ktk mlango huo na hakuna wakukwepa mlango pole kwa familia tulimpenda ila mungu kampenda zaidi mbele yake nyuma yetu amin mungu tunakuomba umpokee ndugu yetu umueke panapo stahili amin  tutakukumbuka  tumezoeakusikianyimbo za maombolezo toka kwako dah nakosa jibu swali ninalojiuliza je ninani atakae imba kwa kukuenzi na kukusindikiza ktk safari yako hakika nipengo pole kwa familia
pole kwa kila alieguswa na msiba huu tuwe pole wa tanzania wote”-Riyama

“MAY God rest his soul in peace”-Shamsa

“Rest in Peace Captain John Komba…..”-Lulu
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Who really care Kwamba ni mwana ccm,si wapo madarakani lazima mjikombe

    ReplyDelete
  2. Msiba wako umenitouch hata kama ujanipa hata mia tutakukumbuka ndani ya chama na wananchi kwa ujumla,nenda salama baba.

    ReplyDelete

Top Post Ad