Mtoto wa ajabu azaliwa Hospitali ya Mkoa Shinyanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya serikali ya Shinyanga akiwa na Vingo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda alifariki Dunia

Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi....
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DHAMBI ZIMEZIDI DUNIANI!!!

    ReplyDelete
  2. mungu atesaidie ki ukweli najiuliza hivi
    je huu ndio mwisho wenyewe wa dunia au
    ni leoleo tu nimetoka kusoma kuwa kuna mama kajifungua mtoto anafanana na chatu akakaa baada ya muda tu akafariki ki ukweli tanzania tunahitaji maombi ya hali ya juu sana tusilae tukesh tukiomba

    ReplyDelete
  3. kama ni wa shinyanga wala msishangae kuna uwezekano mimba iliathiriwa na madawa wanayotumia migodini ikapelekea gene mislocation na hiyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. HEEE WEWE UMESEMA KWELI KABISA. UCHUNGUZI UFANYWE!!!

      Delete

Top Post Ad