Nay wa Mitego Afanya Kweli, Apima DNA ya Kudhibitisha Kuwa Mtoto ni Wake Ama la, Majibu Kutoka Mwezi wa Nne

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwimbaji Nay wa Mitego ametimiza ahadi aliyosema kuwa atapima DNA kujua kama kweli mtoto aliyezaa na Siwema ni wake ama la baada ya Siwema kudai kuwa mtoto huyo si wake bali ni wa Obasanjo....

Nay wa Mitego amehabarisha kuwa Amepima DNA kwa Mwanakemia mkuu na Kuambiwa kuwa majibu yatatoka mwezi wa nne tarehe 8 ......

Kila la Heri Bwana Nay


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe roho inamuuma

    ReplyDelete
  2. Asilimia 80 ya watoto nchini ni wa kubambikikiwa, kila mtu akapime wanawe muone

    ReplyDelete
  3. NAWE UKOME KUZALISHA NA KUACHA UNADHANI WENZIO WANA MIOYO YA CHUMA????????

    ReplyDelete

Top Post Ad