AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..
Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari
Alisema "Mimi na Wema ni Damu Damu ...ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala kuwekeana mipaka "
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
safi totoooo
ReplyDelete'nyimbo yake mpya'... acha tu wakenya, waganda na warundi watuzidi kwa kiswahili kizuri.. hiki cha Tz tunakiaribu wenyewe, mbaya zaidi waandishi ambao wanastahili kuwa mstari wa mbele kukijenga ndo wabovu.
ReplyDeleteWewe mwenyewe pia unachangia kukiharibu kiswahili umeandika"TUNAKIARIBU"badala ya TUNA KIHARIBU"wakati ule mkiwa mashuleni mlifikiri mnawakomoa waalimu zenu kwa kutokusikiliza na kujifundisha vyema lugha yenu ya kiswahili sasa matokeo yake ndiyo haya everywhere ni brocken swahili
ReplyDeleteSiyo waalimu zenu,,Bali Ni waalimu wenu,,,na wewe PIA unachangia kukiharibu kiswahili,@
ReplyDelete