AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwenye picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishuka tumbo la Aunty kitendo ambacho kinaashilia kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumba ambao Wema aliutupia kuonyesha kuwa yeye na aunty ni marafiki wa kweli na wanafurahia pamoja.
Kitendo hiki cha wema kiliwafurahisha wengi na kumsifu Wema kuwa na moyo wa upendo kwa jamaa zake.
Nami naungana nao kumsifu Wema kwa moyo huu aliouonesha, kwani rafiki wa kweli ni yule ambae mnakuwanae wakati wote…
Mzee wa Ubuyu
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
NA WEWE LINI???
ReplyDelete