Picha:Mwigizaji Lucy Komba Awarambisha Watu Ndimu.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vijimambo: Mwigizaji wa filamu na mrembo mwenye kujivunia rangi yake, Lucy Komba ambae kwasasa anaishi Ulaya pamoja na mumewe Janus, usiku wa jana alibandika picha hizi mtandaoni akiwa anadendeka na mumewe wakiwa sehemu ya wazi na kuandika maneno ambayo bila shaka walengwa wamemuelewa.

“Zisikutishe kelele za mende wakati kunguru akikuona anakukimbia kwa woga”-Lucy aliandika.

Wadada wa town wanakwambia kwa picha hizi bidada amemaliza,watu wasiowapenda na kuleta figisu figisu lazima watafute ndimu...kwani limao hapa mjini zimebaki za kuungia mboga tu.

Mzee wa Ubuyu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona huyu mzungu sura yake ya kike na huyu komba ndio imekalia kidume!!! khaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utakuwa mchawi wewe si buree!

      Delete
    2. wewe utakuwa team wema unatamani angekuwa WEMA.
      GO GO GOOOOO KOMBAAAAAA..... you gat it all babe....

      Delete
    3. KHAAAA WABONGO KWA WIVU!!!!

      Delete

Top Post Ad