Wabongo Wamponda Jack Wolper Kwa Kuvaa Kipini Puani...Mwenyewe Asema Haya Kujitetea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ameyasema hayo baada ya hapo jana baadhi ya mashabiki mtandaoni  kumshambulia mara baada ya kubandika picha akiwa na kipini puani.

“Ewe kipini....kipini kipuli kipuli...kiheren kihereni umenijazia inzi kwenye akauni yangu yangu lakini kipini nivumilie nimalize hii Movie na we utapumzika lakini kipini nilivyokuhusudu naunaendana na kabila la Mama yangu upande wa bibi mza mama Masai basi nitakufkria eidha uwe ndonya yangu yakudumu au nitakutoa lakini kwakua ni asili yangu namnyaki mimi nitakuwacha nakukuhusudu nakukupa kipaumbele kama hivyo vilips hapo

Jaman Am Solee muwe mnauliza kwanza kumbukeni sana ni kazi yangu nahicho kipini hapo kinaniingizia HELA nasijatoboa nimeweka tu kwahyo kipini hiki kiacheni kama kilivyo yani ata nikimaliza hii Movie kwa kuwa maongezi yamekuwa mengi mara ng'ombe mara ndonya basi acha nimfutaishe koko wangu mmasai kudumisha mila yake Am soleee gangoswee muachieni ngosweee ujatumwa kucoment wala kutoa ushauri nasaa hapa”.-Wolper ameandika mtandaoni.

Nadhani imeeleweka, yupo kwenye utengenezaji wa MOVIE ila pia anaweza kukiacha.

Mzee wa Ubuyu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wanawake bongo mnapenda kuiga culture ambazo sio za kwenu duuu, very sad.

    ReplyDelete
  2. Hii culture mbona na huku kwetu Africa ipo, labda kwa kuwa vipini ni vimechongwa kwa miti, sio vya dhahabu, na vile vipini vya miti vilivyokuwa vinavaliwa na wamakonde, hasa mabibi na mababu,vinaningnia puani kwa siku hizi sio sana, labda huko vijijini ndani ndani kama mtwara, labda waweza kuwa kuta,

    ReplyDelete

Top Post Ad