Breaking News: Majambazi Yatiwa Mbaroni jijini Dar Yakiwa na Bunduki 2

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam mchana huu.
 
Inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kufawanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HII MIJAMBAWAZI INATIA HASILA SANA MIMI KAMA NINGEKUWEPO HAPO NINGEICHOMA MOTO HAPO HAPO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata Mimi inanitia hasira Sana ,hafu wakipelekwa unakuta wanaachiwa wanarudia yaleyale,

      Delete
  2. haya madudu ilibidi yakatwe vichwa live, nafikiri ISIS inapaswa kuwashughulikia watu kama hawa kuliko kucheza na raia wasio kuwa na hatia, shenzi zao, hasira hadi kwenye pumbu na mbooo!!!

    ReplyDelete
  3. Kinachoniuma, ni jinsi walivyo wadogo, yaani vijana na wana nguvu nyingi mwilini ambazo wangezitumia kutafuta pesa kwa njia halali kabisa kuliko huo unyang'anyi wa kutumia silaha.

    Nampongeza sana hata huyo raia aliyejitolea kuwafuatilia mpaka kuwakamata.

    ReplyDelete

Top Post Ad