AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Katika kikao cha waandishi walichoitisha leo mchana, Tume ya taifa ya uchaguzi wameahirisha kura ya maoni iliyokuwa ipigwe April 30 hadi watapotangaza vinginevyo kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
usanii tuu hapo
ReplyDeletePLAYING WITH POOR MAN'S SOUL
ReplyDeleteBora...si vzr kulazimisha vitu ambavyo hata hatujajipanga ikiwezekana waipostpone hadi mwakani ....it cn wait katiba yenyewe bado kuwafikia wananchi watapigaje kura kwa kitu kisichoeleweka
ReplyDelete