Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.

All the best kama sio kick.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Big up tandale boy na wambagala na temeke na nyie jitaidini mujikwamue kiuchumi zaidi

    ReplyDelete
  2. he! nilifikiri atamvisha pete bi kizee kumbe anafungua tv station.

    ReplyDelete
  3. hata jidee anayo, kafanya vizuri sana lakini bi matende ndoa lini? au ni kuzaa tuu halafu tupa kule.

    ReplyDelete
  4. MASKINI ZARINA SHOW OFF ZOOTE NA KUSHIKA MIMBA JUU, NILIFIKIRI TRH 1MAY. NDO HARUSI KUMBE NI TV, NDO MAANA ANUMIA SANA AKISIKIA IVAN ANADEMU.

    ReplyDelete
  5. Domo kweli hamnazo, anatangaza tv tation, badala ya ndoa, na alikuwa analilia mtoto sasa bi mkubwa kashajitolea si angeoa kabisa au anaogopa kuitwa baba wa watoto 4.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nendeni mukale kwanza alafu murudi

      Delete
  6. na wewe kafe na njaa, halafu urudi.

    ReplyDelete
  7. Nyie kweli vilaza mwenzenu ana make Dolali nyie mnapika majungu...sasa nasemaje MAJUNGU MLIYOYAPIKA TAREHE 1 MAY MTAYAPAKUA,hali zenu zenyewe za mkunga mkijikuna mnatoka unga..hihihihihihihahahaha

    ReplyDelete
  8. Acheni domo afanye maendeleo nyie mnataka kuoana kwani nyie hamna jinsia?!! Oeni mnamsubili dangote msafii muacheni alaleeee

    ReplyDelete
  9. ANAJUTANGAZA KILA AFANYACHO, NDO MAANA TUNATAKA KUONA, VITAZA MSOKUWA NA JINSIA YA KIKE WALA YAKIUME NDO NYIEEE, MAZUMBUKUKU.

    ReplyDelete
  10. Yani watu wenye choyo utawajua tuuu hamna lolote zaidi ya choyo kwa mtoto wa watu jiulizeni toka mmeanza kumponda na kumtukana kaharibikiwa wapi? acheni hizo mnajiharibia kwa wivu na roho mbaya.........................aliemuumba yeye ndio kawaumba na nyie so niboya kuluia mama yangu na sio mamayake ............

    ReplyDelete
  11. MWACHENI DIAMOND NA ZARI WAPETE WIVU UNAWASUMBUA

    ReplyDelete
  12. Kutwa mnawalala mama zenu mkaliye majungu kwa mwana wamwenziyo.Mpewa hapokonyeki halooo haloooooooooo

    ReplyDelete
  13. TV STATION? Hahahahahahahahaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiii! LOL!

    Aseme tu anafanya live streaming hiyo party yake, sio anazindua TV ambayo haiko hata hewani. Kina Bakhresa wenye pesa zao TV Station yao ilikuwa hewani zaidi ya mwaka mmoja, ikiwa inarusha matangazo na watangazaji wakaajiriwa na jengo tumeliona, na ndio imezinduliwa juzi kati hapa mwaka na huu na mheshimiwa Rais. Sasa huyu Dogo hiyo TV Station yake alikuwa anaonyesha wapi? Tandale na inaitwaje mpaka uzinduzi wake unafanyika tarehe 1 May. Hihihihihihihhiiiiiiiii LOL!

    ReplyDelete
  14. TV Station Inaitwa Tandale kwa Domo!!

    ReplyDelete

Top Post Ad