AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Leo hii raisi wa kenya amewasimamisha kazi wa kuu wa chombo kinacho simamia udhibiti wa ufisadi pale nchini kenya,yaani mwenyekiti na makamu wake.Sababu kuu ni moja tu,wameshindwa kuwajibika ipasavyo kupambana na ukosefu wa maadili na kukithiri kwa ufisadi kenya. swali? hapa Tanzania tatizo lipo wapi? Vyombo vya Kudhibiti vimelala ufisadi sana zaidi ya sana ....
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
KWETU KIKWETE AMELALIA SANA KWENYE RUSHWA NA KUHUJUMU NCHI NA MAENDELEO YA TANZANIA NA KUIWEKA TANZANIA KUWA NI NCHI YA WAMASKINI WENGI NA WACHACHE WAKILA NCHI AKIWEMO KIKWETE NA KUNDI LAKE. YAANI HAFAI KABISA KUITWA RAIS WA TANZANIA... NIKIJA KUWA RASI ,NITAWAFUNGA WOTE WALIOHUJUMU UCHUMI WA NCHI AKIWEMO YEYE KIKWETE. NINAVYOMCHUKIA!!!!!!
ReplyDeleteWa kwetu ni kiazi!!!!
ReplyDeletehuyu rais wetu ni rais wa mafisadi, wezi na wala rushwa hana habari na wananchi wala hana uchungu wowote na nchi hii........
ReplyDeleteushkaji umezidi kwenye kuteuana
ReplyDeleteHUYO KIKWETE UKIMUANGALIA SURA YAKE TU UNAJUA FIKA KUWA NI MWIZI WA MALI YA UMMA
ReplyDelete