Nasema Nawe: Hakuna Msanii Anayeweza Kuimba Mduara Kama Mimi Mjipange Upya– AT

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Bongo Flava na muziki wa Mduara kutoka visiwani Zanzibar, AT anaamini hakuna msanii Tanzania anayeweza kufanya mduara kama yeye!

Kupitia Instagram, AT amesema, “Nasema hivi hakuna Msanii atatokea kupita njia nnayopita kakika kuimba Mduara wala Hakuna video Ya Mduara itakayofunika Sijazoea kwa ubora wa Pc na Muonekano wa uzuri hii wiki ndio ntaifyatua Hewani Mjipange upya.

Unahisi AT ‘Anasema’ na Diamond?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu yupo? Mnakaa kimya wenzenu wanafanya kazi mkitaka kurudi mnaanza makekele we Toa huo wimbo wako mashabiki wako wataona Kama nzuri utahit Tu,acha kutafuta kick!

    ReplyDelete

Top Post Ad