Huyu Ndio Mfalme wa Wazulu Aliyeagiza Waafrika Ambao Sio Wasauz Wapigwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu jamaa Mfalme wa Wazulu nchini Afrika ya Kusini,ndiye aliyeagiza waafrika toka nje ya Afrika Kusini wauawe.
Ati kisingizio watu wa Afrika Kusini hawana kazi na kazi zao zinachukuliwa na wageni.
Kwa wanaoikumbuka vizuri historia ya mapambano Afrika Kusini, Kabila la wazulu hawakushiriki kikamilifu katika vita ya ukombozi.

Chief wao maarufu anayejulikana Chief Mangosuthu Buthelezi alikuwa anajikomba sana kwa utawala wa makaburu, na baada ya uhuru ni kama amesahaulika kabisa.
Chief huyu alianzisha chama kinaitwa Inkatha Freedom Party, lakini hakikupata umaarufu wowote maana kilikuwa cha kikabila sana.
Watanzania tuwe macho.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. … hizi ni kauli za aliyewahi kuwa rais wa Africa Kusini P.W BOTHA
    “WEUSI WANAOFANANA NA BINADAMU NA KUTENDA MAMBO KAMA BINADAMU HAYAWAHALALISHI KUWA WAO NI WATU WENYE AKILI TIMAMU AU BINADAMU ALIYETIMIA”
    “WEUSI HAWAWEZI KUJITAWALA. WAPE BUNDUKI KAMA HAWATAANZA KUUANA”

    ..kauli hizi zililaaniwa sana, lakini je yaliyosemwa siyo ukweli?? tujiulize na kutafakari tukizingatia hili na mengine mengi yanayofanyika katika nchi zetu za kiafrika

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yep!It is a painful truth bro

      Delete

Top Post Ad