AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond.
Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
majanga hayo achana nae!!
ReplyDeleteMbona hilo ni jambo la kawaida ,sasa kama akufiche nini kama kweli anaumwa?acha kukwepa majukumu wewe.ukiwa mbahili utawasikia tu hao viumbe.halafu unaanzaje kutafuta wife wakati huna mbele wala nyuma? Jipange baba usifikiri kumiliki wife ni lelemama,wanamahitaji hao na ni wajibu wako kuyatimiza.
ReplyDeleteUsishangae kaka siku hizi hapendwi mtu bali pesa zake ndio maana mwana dada kaanza kutafuta pesa ndicho anachotaka kwako
ReplyDeleteHakuna mwanamke ambay siku hizi hapendi petha tena huyo kakuanzia pazuri kuna mshkaji wangu ndo siku ya kwanza kumeet na mchuchu wake hafu dem anaishi Kigamboni na jamaa yupo Mpiji Magoe huko Mbezi mwisho ndani ndani kabisa
DeleteDemu alimwambia hapandi daladala anachukua tax hafu akija mshkaji amlipe dreva jamaa alisanda hafu hana kazi ya maana ni zile za kudunduliza hafu matatizo kwake hadi uvunguni......