Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kimefikia Tamati yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maoni Kutoka Kwa Mdau
Si kificho tena, bali ni uhalisia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake kabla hata ya uchaguzi mkuu wa oktoba kufikia.

Ni jambo ambalo wenyewe wanaweza lipinga lakini viashiria vyote vya chama hai havionekani kwa Chadema.

Hakuna uibuzi wa hoja zenye kuleta suluhisho la changamoto tulizonazo kama taifa, bali tunasikia tu mipasho kila kona ya nchi hii toka kwa viongozi wake.

Safu ya juu ya chama imekosa ubunifu na kubaki kulaumu kila mtu mpaka wale wasiohusika.

Si kificho tena bali ni uhalisia, Chadema imeishia njiani, kutokana na ulafi wa madaraka na ubinafsi.

Chadema kinapumulia mwavuli wa UKAWA na hoja ya katiba mpya , bila hiyo hawana la kutuambia watanzania.

By  Stroke/JF


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe ndonani lkn mbona unatuamulia kabla cc wenyewe kuamua?

    ReplyDelete
  2. boya wewe!!! analiye fikia tamati ni wewe na uboya wako!

    ReplyDelete
  3. Ccm na atc wananini kipya???pliz get a
    Life

    ReplyDelete
  4. Boya kweli wewe! Aliefikia tamati ni baba yk na Mama yk, lkn Chadema kipo
    Na kitazidi kuwepo boya wewe!

    ReplyDelete
  5. udaku ni udaku tu na utabaki kuwa udaku

    ReplyDelete
  6. Wewe udaku administrator umetumwa na ccm acha mambo ya kisenge mkundu wewe kila siku negative about chadema,hao ccm wanakulaza giza na kukukatia maji kila siku mbona huwasemi,watu wengine mikundu sana.

    ReplyDelete
  7. Ungana na yuda, chadema ni Watu sio mtu, pekecha mwendo kalale

    ReplyDelete
  8. yah ndugu zangu watanzania imefikia mahali tuwe tunajuuliza maswali ya msingi na tuyapatie majibu ya msingi hivi Vyama vya upinzani vinatakiwa viwe ndio vinara wa kuenzi na kuendeleza demokrasia na hata waanzilishi wake walikuja na hoja hiyo baada ya kuona kuwa mfumo wa chama kimoja uliwanyima fursa ya kutoa mawazo na hata nafasi ya kuonyesha uwezo wao wa kuongoza!.sasa siku za karibuni kuna mambo yaliyotokea ambayo mimi binafsi nawaomba watanzania wenzangu tuwe washabiki wa timu za mpira lakini tusikubali kuwa washabiki wa siasa nikimaanisha kuwa siasa ndio uhai wa taifa letu na italeta tija kama tuataamua kufanya tfakuri za kina kwa kila hatua na kutoa maaumuzi sahihi. Ni hvi walianza NCCR-Mageuzi pale David kafulila alipojaribu kuonyesha nia na dhamira ya dhati ya kuomba nafasi ya juu ya uongozi alitimuliwa uanachama likja suala la Hamad Rashid wa CUF naye alipotaka kutumia demokrasia inayodaiwa ipo ndani ya vyama vya upinzani kuomba uongozi wa juu naye alitimuliwa uanachama! likaja suala Zitto kabwe wa Chadema naye ametimuliwa uanachama kwa kuwa na uroho wa kutaka madaraka sasa hapa kwenye la Zitto nawaomba wanachama wa chadema wafananishe madai ya kabwe na marehemu chacha wangwe kama yanafanana wafanyie kazi kama hayafanani basi Zitto ni msaliti. Ndugu zangu kazi ya vyama vya upinzani haiwezi kuishia kwenye kuzodoana na kuitana mafisadi na chama tawala mimi ninafikiri ni vizuri hvi vyama vikaja na njia mbadala wa kuyakabili matatizo yetu kwasababu nina imani kabisa kuwa matatizo tuliyo nayo yanatatulika. Kwa mfano hapo siku za nyuma chadema walianzisha M4C na wakachangisha mamilion ya pesa ila wakayatumia kuzunguka na helicopter na magari nchi nzima wakiimba wimbo wa mafisadi lakini hebu tufikiri je isingekuwa busara kuanzisah jambo kama hilo wakajenga mashule hospital na vyuo na je mwitikio usingekuwa mkubwa? ndugu zangu tufike mahali tuamue kufikiria wenyewe badala ya watu kutusaidia kufikiri!

    ReplyDelete
  9. Tuondolee pumba umekosa hoja km umeshindwa kuendesha blog yako block kuliko pumba unazotuambia

    ReplyDelete
  10. yah ndugu zangu watanzania imefikia mahali tuwe tunajuuliza maswali ya msingi na tuyapatie majibu ya msingi hivi Vyama vya upinzani vinatakiwa viwe ndio vinara wa kuenzi na kuendeleza demokrasia na hata waanzilishi wake walikuja na hoja hiyo baada ya kuona kuwa mfumo wa chama kimoja uliwanyima fursa ya kutoa mawazo na hata nafasi ya kuonyesha uwezo wao wa kuongoza!.sasa siku za karibuni kuna mambo yaliyotokea ambayo mimi binafsi nawaomba watanzania wenzangu tuwe washabiki wa timu za mpira lakini tusikubali kuwa washabiki wa siasa nikimaanisha kuwa siasa ndio uhai wa taifa letu na italeta tija kama tuataamua kufanya tfakuri za kina kwa kila hatua na kutoa maaumuzi sahihi. Ni hvi walianza NCCR-Mageuzi pale David kafulila alipojaribu kuonyesha nia na dhamira ya dhati ya kuomba nafasi ya juu ya uongozi alitimuliwa uanachama likja suala la Hamad Rashid wa CUF naye alipotaka kutumia demokrasia inayodaiwa ipo ndani ya vyama vya upinzani kuomba uongozi wa juu naye alitimuliwa uanachama! likaja suala Zitto kabwe wa Chadema naye ametimuliwa uanachama kwa kuwa na uroho wa kutaka madaraka sasa hapa kwenye la Zitto nawaomba wanachama wa chadema wafananishe madai ya kabwe na marehemu chacha wangwe kama yanafanana wafanyie kazi kama hayafanani basi Zitto ni msaliti. Ndugu zangu kazi ya vyama vya upinzani haiwezi kuishia kwenye kuzodoana na kuitana mafisadi na chama tawala mimi ninafikiri ni vizuri hvi vyama vikaja na njia mbadala wa kuyakabili matatizo yetu kwasababu nina imani kabisa kuwa matatizo tuliyo nayo yanatatulika. Kwa mfano hapo siku za nyuma chadema walianzisha M4C na wakachangisha mamilion ya pesa ila wakayatumia kuzunguka na helicopter na magari nchi nzima wakiimba wimbo wa mafisadi lakini hebu tufikiri je isingekuwa busara kuanzisah jambo kama hilo wakajenga mashule hospital na vyuo na je mwitikio usingekuwa mkubwa? ndugu zangu tufike mahali tuamue kufikiria wenyewe badala ya watu kutusaidia kufikiri!

    ReplyDelete
  11. yah ndugu zangu watanzania imefikia mahali tuwe tunajuuliza maswali ya msingi na tuyapatie majibu ya msingi hivi Vyama vya upinzani vinatakiwa viwe ndio vinara wa kuenzi na kuendeleza demokrasia na hata waanzilishi wake walikuja na hoja hiyo baada ya kuona kuwa mfumo wa chama kimoja uliwanyima fursa ya kutoa mawazo na hata nafasi ya kuonyesha uwezo wao wa kuongoza!.sasa siku za karibuni kuna mambo yaliyotokea ambayo mimi binafsi nawaomba watanzania wenzangu tuwe washabiki wa timu za mpira lakini tusikubali kuwa washabiki wa siasa nikimaanisha kuwa siasa ndio uhai wa taifa letu na italeta tija kama tuataamua kufanya tfakuri za kina kwa kila hatua na kutoa maaumuzi sahihi. Ni hvi walianza NCCR-Mageuzi pale David kafulila alipojaribu kuonyesha nia na dhamira ya dhati ya kuomba nafasi ya juu ya uongozi alitimuliwa uanachama likja suala la Hamad Rashid wa CUF naye alipotaka kutumia demokrasia inayodaiwa ipo ndani ya vyama vya upinzani kuomba uongozi wa juu naye alitimuliwa uanachama! likaja suala Zitto kabwe wa Chadema naye ametimuliwa uanachama kwa kuwa na uroho wa kutaka madaraka sasa hapa kwenye la Zitto nawaomba wanachama wa chadema wafananishe madai ya kabwe na marehemu chacha wangwe kama yanafanana wafanyie kazi kama hayafanani basi Zitto ni msaliti. Ndugu zangu kazi ya vyama vya upinzani haiwezi kuishia kwenye kuzodoana na kuitana mafisadi na chama tawala mimi ninafikiri ni vizuri hvi vyama vikaja na njia mbadala wa kuyakabili matatizo yetu kwasababu nina imani kabisa kuwa matatizo tuliyo nayo yanatatulika. Kwa mfano hapo siku za nyuma chadema walianzisha M4C na wakachangisha mamilion ya pesa ila wakayatumia kuzunguka na helicopter na magari nchi nzima wakiimba wimbo wa mafisadi lakini hebu tufikiri je isingekuwa busara kuanzisah jambo kama hilo wakajenga mashule hospital na vyuo na je mwitikio usingekuwa mkubwa? ndugu zangu tufike mahali tuamue kufikiria wenyewe badala ya watu kutusaidia kufikiri!

    ReplyDelete

Top Post Ad