Picha Feki ya Nyoka Mkubwa Anayesemekana Kukutwa kwa Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukisikia mitandao wakati mwingine mibaya, kuna watu wenye nia mbaya wametengeneza picha ya nyumba ya Diamondi ikionyesha kuwa anafuga nyoka mkubwa. Picha hii kwa sisi wataalamu wa uchoraji inaonekana kuwa ni ya kutengeneza kwani kuna vielelezo macho vinavyoashira kuwa ni ya kuchonga

Huyu mtu ameshindwa ujanja mdogo wa kutengeneza kivuli, kwa sababu nyumba inaonyesha kivuli, mtengenezaji amembanananisha sana na ground floor wakati nyoka huwa ni wa mviringo , kuna mambo wengi tu yakuonyesha kuwa amefeli.

Ni hayo wasimwonee wivu mtoto wa wenzie, kapata kiharali.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamaa kaitoa Youtube! Ya miaka mingi sana hiyo!!! Usipende kutudanganya!!

    ReplyDelete
  2. waafrika ndio maana tuko nyuma mwenzio akifanikiwa badala ukae nae karibu akupe mbinu alizotumia mpaka akafanikiwa wewe unahangaika kuonyesha kuwa mafanikio hayo sio ya halali.Halafu wewe uliyefanya hicho kitendo nenda MOMBASA UKAUZE TIGO KWA SABABU HUNA UTASHI WOWOTE

    ReplyDelete
  3. Kwa hali hii alibino wataendelea kuuwawa Sana kwa sababau watu haawamini Kama wanaweza kupata maendeleo bila nguvu za giza watu wanatakiwa wabadilike.

    ReplyDelete
  4. TENA WATANZANIA NDO TUMEZIDI!! WIVU MCHAFU SANA. YAANI MNAHANGAIKA KUMUHARIBIA DIAMOND BADALA YA KUMSAPOTI NA KUMUULIZA AMEFIKA HAPO ALIPO. JAMANI TUACHENI ROHO MBAYA. WABONGO TUMEZIDI.

    ReplyDelete

Top Post Ad