Dada wa Diamond Esma Platnumz Awacharukia Team Wema Wanaomkataza Asisapoti Show ya Diamond na Zari Mlimani City

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kupost Picha akisapoti Show ya kaka yake Diamond na Zari Mlimani City Baadhi ya Mashabiki hasa wale Ambao wako Team Wema Walianza Kumtukana Esma na Wengine kuuliza Maswali kwanini anapost na wakati mume wake Petitman ni Maneja wa wema ..

Esma aliingia mtandaoni na Kuwajibu kama hivi:

'Naomba nieleweke mi hivi kwanini mnapenda kukuza mambooo... na kwanini mnapenda kunipangia vitu vya kupost ktk sim yangu mwenyewe alafu kabla hamjaongea fikilieni mara mbilimbili mnachoongea sio mnakurupuka mnatukana watu bila sababu so mlitaka nipost niwaambie watu wasiende #mlimanicity wat...?😳 nitakuwa mwanga bac mkataaa kwao mtumwa kitu kinachomuhusu naseeb nitapost mwanzo mwisho sasa nyinyi kwaakili zenu zilizokuwa fupi mlizani nikiwa na petty ndio naweza ikataa familia yangu niingie familia nyingine haitotokea sina akili za kushikiwa kiasi hicho.. tukaneni mnavyojiskia na mnaotaka kujua km siko na petty soon mtajua km niko nae au siko nae... nimemaliza haya chambeni mtanikuta leba ' Esma
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama umeachwa si useme, usianze kiki kama matende

    ReplyDelete
  2. safi sana Esma mkataa kwao mtumwa.uwezi kuacha kumsuport kaka yako eti kisa mume wako ni meneja wa x girl friend wake.big up and keep it up support your brother

    ReplyDelete
    Replies
    1. NDIO LAZIMA UME SAPOTI KAKA YAKO HONGERA SANA

      Delete
  3. Na hiyo ni conflict of interest anayoileteleza huyo Petit katika hiyo Familia. Ni either aachane na huo umeneja wake hewa kwa huyo Kicheche ama aachane na hiyo Familia ya akina Domo. Sasa atakuwa anawagonganisha usiku na mchana dah.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani watu kabla ya kuposit fikirieni kwanza Petit wakati anaoana na Esma Petit alikuwa meneja tayari wa Wema leo mnataka aache kazi kisha what will he live from. Tatizo lililopo liko wazi Esma yeye ili kuwa sawa alitakiwa kama ni kumsupport aanze kumsaport mme wake kwa sababu biblia inasema utaachana na wazazi wako na utaandamana na mme wako na nyie mtakuwa mwili mmoja hao hawatakuwa wawili tena. Esma labda anajivunia Naseeb kwa vile ni maarufu lakini ukweli ni kwamba hawezi sapoti kaka yako kabla hujasapoti mme wako. Tatizo jingine familia ya Naseeb from day one haimsapoti Petit jamani na hata wakati wa arusi yao Naseeb aliposit picha ya Esma tu!!!kumpa hongera jamani ingieni kwenye shoes za Petit hawezi kujisikia amani. Uswahili ni mwingi kwenye hizo familia. Naseeb kwa ustaarabu alitakiwa amkubali Petit lakini kwa mantik hiyo Petit hayuko axcpted na hiyo family ni kwamba Esma yeye na Petit walipopendana wajisahau consequences zitakazowatokea kwa sababu ya love is blind sasa wanafunguka macho au huenda Petit alifikiri atakubalika lakini mhhh pole yao.

      Delete
    2. Nakushukuru sana anonymous hapo juu 4:39PM kwa kunipa ile insight. Ni kweli kabisaaa unachokisema juu ya mapenzi baina ya watu wawili hasa linapokuja suala la Ndoa linakuwa sio wao tena bali ni Ndugu na Jamaa zao wanaowazunguka. Dah aisee!!! Sasa sijui kati ya hao wawili ni nani aliyeingia katika huo mtego. Ila kama Petit ameingia
      kwenye huo mtego kwa kujitambua ama kutojitambua nampa pole nyingi saaaaaaanaaaa kwa sababu hata mimi mwenyewe nimewahi kuwa victim katika situation ya aina hiyo.Sasa kazi
      ni kwao wana Ndoa, ila ninachokijua pressure yoyote kutoka kwa Ndugu kwenda kwa wana Ndoa huwa sio mchezo kukabiliana nayo na hasa ukizingatia mmoja wa wana Ndoa anatoka katika familia yenye vichenji kidogo na halafu pia ni waswazi. Wewe mbona ni kaziiiiiiiii

      Delete
  4. KICHECHE MAMA YAKO, AU HUJAMUONA AKIWA UCHI USIKU ANASIMAMISHA MAGARI?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jibu hoja matusi hayakufai mjinga wewe.

      Delete
    2. MATUSI YA NINI NDUGU???

      Delete
  5. ndio ni kaka yake hakuna alomkataza kumsujudia si atafukuzwa kwenye nyumba ya kupanga? badala aangalie family yake kwanza anaangalia ya kaka yake mama1. baba kila mtu na wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah hii tena kali!! Unasemaje?????? Kaka yake mama mmoja halafu Baba kila mtu na wake?????? Tunataka ufafanuzi na udhibitisho wa kile unachokieleza wewe anonymous 5:05PM.

      Delete
  6. Anonymous 5:05pm umesahau msemo usemao damu nzuri kuliko maji kwa nini hasi msapport kaka eti kwa ajili ya mume wake ni manage wa wema please it doesn't go that way u look like u didn't have. Anything to say something think before writing.

    ReplyDelete
  7. Hapa mchawi ni team wema wanaleta coment zakiswazi ndio maana siku zote na sema wanao msapoti wema niwale ambao hawana upeo wamaisha kama wema mwenyewe

    ReplyDelete
  8. KISHERIA YA DINI BINTI UKIOLEWA WEWE FAMILIA YAKO NI YA MUME!!
    NYUMBANI NI NYUMBANI HATA IWE VIPI LAKINI HUWEZI BASE SANA KWENU.
    TATIZO HAPA DOMO NDIYE PROVIDER!!!

    PETIII BABA JITAHIDI KUSIMAMA AS A MAN!!!
    NANI HUINGILIA PENZI LA DOMO? ALIPOPENDANA NA BINTI SPT MBONA HAKUINGILIWA NA WAKATI ULE YEYE ALIKUWA FAMILIA DUNI?

    TATIZO NI CHUKI ZAO NA USWAZI, WAMESAHAU WALITOKEA WAPI? HATA PETII MUNGU AWEZA KUMPA ZAIDI YA HAPO.

    ReplyDelete
  9. SIONI TATIZO KUMSAPORTI KAKAKE

    ReplyDelete
  10. uteam team huku umejaaa mwingii..me napita tu..ila sijaona kosa la Esma....kama mnafuata maandiko ya vitabu vitukufu basi Tz tungekuwa wema sana zaid ya sepetu...

    ReplyDelete

Top Post Ad