AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Habari zilizotufikia zinaarifu Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kutumia mabomu ya machozi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo kutuliza vurugu zinazofanywa na abiria pamoja na wananchi kufuatia mgomo wa madereva.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Serikali yawapasa kutoa ufafanuzi na kutatua kero kwa wananchi
ReplyDeleteDuh.... Mabomu??????
DeleteSerikali isitafute majibu rahisi kujibu maswali magumu,kusoma mdereva kutasaidia nini wakati barabara zetu nyingi ni nyembamba na mbovu?
ReplyDelete