Taharuki: Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Lindi, Awekewa Jeneza na watu Wasiofahamika Mlangoni Kwake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna tukio limetokea katika Mkoa wa Lindi ambapo Mwalimu Mkuu wa shule moja ya msingi mkoani humo (Haikufahamika mara moja) ameamka asubuhi ya leo na kukuta jeneza limewekwa mbele ya mlango wa nyumba yake.

Wananchi wa eneo hilo nao wamepigwa na butwaa kwa tukio hilo. Taarifa zaidi zinasema Mwalimu huyo amedhamiria kuomba uhamisho wa haraka sana kutoka katika eneo hilo kwa sababu inaonekana wenyeji hawamtaki kutokana na yeye kushirikiana na serikali ya Kijiji kuwakamata wazazi wote ambao wanawaachisha shule watoto wao ili kuolewa.

Baadhi ya Waandishi waliopo mkoani humo wamesema wanafuatilia tukio hilo ingawa hadi sasa Polisi mkoani humo bado hawajathibitisha tukio hilo.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ukistaajabu ya mussa utaona ya fir auni

    ReplyDelete
  2. watu weusi ndio maana hatuendelei tutakuwa watumwa kwa watu weupe mpaka basi kwa mambo kama haya!! mtu atajitahidi kuwapa elimu mnafanyia ushirkana ile aondeke!!! wanamtisha ile aondoke. wee mwalimu ondoka zako usije ukauawa bure kwa watu wasiona shukurani!!! nakushangaa unasubiri uamisho

    ReplyDelete
  3. elimikeni wazazi wa wanafunzi wa shule ya lindi, achene mambo yenu ya kishirikina hayo hayatasaidia.

    ReplyDelete

Top Post Ad