Tundu Lissu: Filamu za Ponografia ama X Siyo Kosa Kwa Watu Wazima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tundu Lissu amesema leo bungeni dodoma kuwa,Filamu za Ponografia siyo kosa la jinai dunia nzima isipokuwa ni mambo ya wakubwa,Na akaomba kifungu hicho kifutwe.

Kumbukeni lissu amesisitiza kwa watoto ndio kosa si kwa watu wazima.

Next time watakuja na muswada ku-control kila kinachofanyika bedrooms.

Nakupe 5 Lissu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao ndiyo wabunge wenu mliowachagua kwa kununuliwa pilau badala ya kujadili kuhusu kwanini elimu Tanzania imeshuka madawa hospitalini hakuna kuwasaidia watu wa chini ili nao wapate ajira zao wanazungumzia sinema za ngono bungeni na huyo mama spika amekaa kimyaaaa anasikiliza huo upuuzi yaani ni DISGUSTING PURE

    ReplyDelete
  2. wee nayeee!!!!!
    fuata maerekezooo. usiangalie na watoto

    ReplyDelete
  3. Lisu alikuwa anatoa hoja kwenye kifungu cha sheria kilichowasilishwa bungeni kuhusu matumizi ya mtandao.

    ReplyDelete
  4. Sasa unamshutumu lisu kwa kutoa ufafanuzi? We vp , nini maana yakua na wanasheria wabunge? Tuwatumia vizuri hongera lissu we kichwa

    ReplyDelete
  5. Hao ndo wanaodandia treni kwa mbele,wewe unafikiri kila hoja ni elimu na hospital?

    ReplyDelete
  6. Hivi kwa akili yako, kwa mwaka mzima watajadili elimu,madawa hospitalini hakuna mengine zaidi ya hayo?

    ReplyDelete
  7. Wanasaikolojia nawataalamu wa maumbile wamewagawa binadamu kitabia katika makuni manne yaliyogawanyika katika kategori kuu mbili [a] INTROVANTS [WENYE IQ YA JUU [b]EXTROVANTS [WENYE IQ NDOGO] makundi hayo ni [i] Melankolin[ii]Fragmetic [iii]Sanguine [iv] Colerick .Huyu TUNDU LISU yuko kwenye kundi la FRAGMETIC IQ iko kati ya asilimia 60 hadi10,i Ni mabingwa wa kuahirisha mambo,Wanapenda sana kupuuzia mambo mpaka waone kwa macho ,Hawakubali kushindwa ni wabishi sana ni mabingwa wa kujenga hoja hawakubali kushindwa kirahisi anaweza kukomaa kuwa MTI NI GARI akatetea msimamo huo iwapo ni lazima ashindwe hukubali kwa shingo upande ,Hawapendi kukubali au kusifia mafanikio ya wengine,Wanapenda kufuatilia mambo ya watu wengine pasipo msingi wowote,Hawaumizwi kufanya makosa,Kwenye kundi hili wako Majaji ,Mawakili na Mahakimu mahiri.na Wapelelezi mahiri ,Hawapendi kuamini wenzao,Kwenye suala la mapenzi ni mabingwa kuacha na kuachika wengi wako SINGLE ,Hawaogopi kumkosoa mtu ama kumuumbua mtu hadharani ingwawa wakati mwingine ni wasuluhishi wazuri,Wamejaa dharau na mara zote hujiona ni bora kuliko wenzao,Wanapenda kutekeleza mambo waliyoambiwa uso kwa uso ,Wakiwa viongozi kuweza kujikuta wakichukiwa na watu hasa pale wanapoendekekeza tabia yaoya kutojali haja na matakwa ya wale wanaowaongoza

    ReplyDelete
  8. na wewe una IQ kiazi gani?. naamini wewe hata IQ huna kabisa afadhali Tundu Lisu anayo kati ya 60-10.

    ReplyDelete
  9. watu kwa kupenda kujulikana mmesoma hamjambo mbona takwimu zenu mbovu kutokana na utafiti wa Tanzania bureau of statistics sasa IQ mara LISU nyiewote mulemule wa kuburuzwa ponographia kwa wengine hukoo magharibi ni sawa above 16 hapa TZ ndo mmeshindwa kueka age limits mnamlaumu alioonani sawa kwa wakubwa na hao wanaotaka zifutwe sidhani kama ni wadogo niuelewa mfupi kama kimo changuu tuu..............

    ReplyDelete
  10. Hao wote hawana IQ yeyote. Huyu Tundu Lisu ametetea hoja hiyo kwa sababu na yeye ni shabiki mkubwa wa ponografia na x video ndio maana anatilia mkazo.

    ReplyDelete
  11. TUNDU LISU YUPO SAWA, NYIE WATU WAZIMA KAMA HAMUANGALII PICHA HIZO NDO MAANA WAKE ZENU NA WAUME ZENU WANACHEPUKA, MPE MKEO HAKI YAKE KWA UFUNDI, NA ELIMU HIYO HAINA MWISHO, IPATE KWENYE PICHA NA VITABU. NAKUBALIANA NA LISU KWA WATOTO AU HADHARANI HAIFAI, TUWE FAIR

    ReplyDelete

Top Post Ad